GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na mlichokisahau mlijitahidi sana kulificha hili hasa wa Waandishi wa Habari mbalimbali ila mkasahau kuwaambia Walinzi wa Hoteli husika nao Wauchune wasiseme na hata Wataalam wa IT wa hiyo Hoteli nao Wauchune na kama kawaida yangu Mzee wa Kuzipata zile Taarifa Ngumu na Zilizofichwa Tanzania GENTAMYCINE nimezipata Kamili kabisa.
Na sababu Kuu za Ugomvi wenu ule ni Bifu lenu la Mahusiano ambako kuna Mmoja kapita na wa aliyekuwa na Mwenzake na si tu kaishia Kupita bali kapita kubaya (kule kule anakotagia Njiwa Yai) lake na Kumtambia Mwenzake kafaidi mara mbili.
Ushauri wangu mkubwa Kwenu (kwakuwa ninawajua nyote) ni kwamba tulieni ili Dawa za Tarehe 1 Desemba ziwalindeni.