Mkuu jamaa anakula maisha anagonga mihuri kwa passport anaenjoy maisha.Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.
Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga?
Ni Africa tuu ndio Ukiwa na miaka 50-55 umezeeka.Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.
Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.
Maisha ni yake maamuzi ni yake kikubwa asivunje sheria ya nchi narudia maisha hayana kanuni katika utafutajiAkale jikoni, sebuleni hapamfai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au kwa kuwa anaoa kila mwaka anajiona naye ni kijana chini ya miaka 30 kumbe ni kikongwe hadi nywele nyeupe zimeanza kuota kwenye "ikulu" yake.
Wanajua anachowapaga warabu......Hersi hamtaki, hizo ndio Laws of Power, Manara kutwa kucha kujipendekeza kwa GSM, hana chain of command