chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.
Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.
Yaani Engineer Hersi anamsalimia shikamoo babu Manara kila siku, inaboa