Haji Manara, na umri wako wa zaidi ya miaka hamsini, unaenda kugombania kazi na akina Kamwe, Priva, na ubishane na Ahmed Ally

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.

Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.

Yaani Engineer Hersi anamsalimia shikamoo babu Manara kila siku, inaboa
 
Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.

Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga?
Mkuu jamaa anakula maisha anagonga mihuri kwa passport anaenjoy maisha.
Kutafuta pesa hakuna umri as long as una make pesa unafurahia maisha keep doing what you do ili mradi isiwe haramu
 
Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.

Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.
Ni Africa tuu ndio Ukiwa na miaka 50-55 umezeeka.

Ni Africa tuu Ukiwa na miaka 50-55 na uko kwenye siasa wewe ni kijana

😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😄😄😄😄😄😁😁

Sijawahi ona Mzee wa miaka 50
 
Back
Top Bottom