Namhurumia sana Ally Kamwe na Priva, sijui kama walishafika Pangani, Kwa Msisi au Pemba, maana hizo ndio anga za Manara, atawapiga vyombo vya jadi na unga wa miti mpaka wachiziHuyo ni mzee wa fitna hakawii kuuza utu wake arudi kitengoni
Njaa haina baunsa.Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.
Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.
Yaani Engineer Hersi anamsalimia shikamoo babu Manara kila siku, inaboa
Wote wanaoreply hapa kwa kumponda huyo jamaa ni wana roho mbaya na kumchukia huyo mwamba.Ni Africa tuu ndio Ukiwa na miaka 50-55 umezeeka.
Ni Africa tuu Ukiwa na miaka 50-55 na uko kwenye siasa wewe ni kijana
πππππ€£π€£π€£π€£πππππππ
Sijawahi ona Mzee wa miaka 50
Ukweli lazima usemweWote wanaoreply hapa kwa kumponda huyo jamaa ni wana roho mbaya na kumchukia huyo mwamba.
Nimesoma na naendelea kusoma hizo replies zote naona zina chuki wala umri siyo sababu kabisa, hii ni ile hurka yetu ya kiafrika ya kumpinga mwingine kwenye kuutafuta mlo wa siku.
Haji Manara halisi wa sasa ni huyuTatizo akipiga picha anatumia sana filter zinamdanganya bado ni mtoto
Mwenyewe anajiita dogo.Tatizo akipiga picha anatumia sana filter zinamdanganya bado ni mtoto
Du kweli ni mbabu awaachie vijana nao waropoke ropoke. Imagine babu kama huyu aanze kufanya utoto kama unaofanywa na Ali Kamwe kuvaa kibwaya kukata mauno mitaani kushangilia ujio wa Chama .Haji Manara halisi wa sasa ni huyu
Napia chuki hukaa kifuani mwa mjinga mimi sio yanga ila jamaa nahisi ni miongoni mwa hao vijana wameamua waje kivingineMbona ndugu mtoa mada unaonekana una chuki mbaya sana juu ya mwanadamu mwenzio...... haifai namna hiyo ndugu.......
Hata kama hukubaliani na mtu lakini umefikia kiwango kibaya sana cha chuki.....
Wanadamu hatupaswi kuwa hivyo ndugu yangu........
Nje ya tofauti zetu za hapa na pale bado Sisi ni viumbe wa Mungu na kuna kundi la watu nyuma yetu wanaotutegemea........
Tusifikie huko mpaka kuharibiana ridhiki......unajipa laana na kufuru kwa mola wako.......
Ili mradi amejiona anatosha basi muache awanie.... wenye maamuzi wataamua........
Sisi sote ni waja tu chini ya jua.....mwisho wa siku sote tutafukiwa ardhini....yote tunayoyapigania tunayaacha........
NB
Chuki humchoma aliyeiifadhi........
Hivi huyo mzee watu hawammegei demu wake kweliTunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.
Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.
Yaani Engineer Hersi anamsalimia shikamoo babu Manara kila siku, inaboa
Umejuaje?Au kwa kuwa anaoa kila mwaka anajiona naye ni kijana chini ya miaka 30 kumbe ni kikongwe hadi nywele nyeupe zimeanza kuota kwenye "ikulu" yake.
AaahaaaNi Africa tuu ndio Ukiwa na miaka 50-55 umezeeka.
Ni Africa tuu Ukiwa na miaka 50-55 na uko kwenye siasa wewe ni kijana
πππππ€£π€£π€£π€£πππππππ
Sijawahi ona Mzee wa miaka 50
AiseeeeeMimi sio mnafiki mkuu, nina roho nzuri, sasa mtu anazurura na mwanamke duniani wakati hapa Tanzania hana pa kuita kwake
Hivi njaa kumuuma mtu inaishia miaka mingapi?Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.
Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.
Yaani Engineer Hersi anamsalimia shikamoo babu Manara kila siku, inaboa
Anaona kweli?Ma bad.Nisamehewe.πGSM ana malori, ampe Manara akaendeshe