Haji Manara, na umri wako wa zaidi ya miaka hamsini, unaenda kugombania kazi na akina Kamwe, Priva, na ubishane na Ahmed Ally

Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.

Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.

Yaani Engineer Hersi anamsalimia shikamoo babu Manara kila siku, inaboa
Njaa haina baunsa.
 
Ni Africa tuu ndio Ukiwa na miaka 50-55 umezeeka.

Ni Africa tuu Ukiwa na miaka 50-55 na uko kwenye siasa wewe ni kijana

😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😄😄😄😄😄😁😁
Sijawahi ona Mzee wa miaka 50
Wote wanaoreply hapa kwa kumponda huyo jamaa ni wana roho mbaya na kumchukia huyo mwamba.

Nimesoma na naendelea kusoma hizo replies zote naona zina chuki wala umri siyo sababu kabisa, hii ni ile hurka yetu ya kiafrika ya kumpinga mwingine kwenye kuutafuta mlo wa siku.
 
Ukweli lazima usemwe
 
Attachments

  • FB_IMG_1713799997765.jpg
    FB_IMG_1713799997765.jpg
    53.3 KB · Views: 4
Ns
Mbona ndugu mtoa mada unaonekana una chuki mbaya sana juu ya mwanadamu mwenzio...... haifai namna hiyo ndugu.......

Hata kama hukubaliani na mtu lakini umefikia kiwango kibaya sana cha chuki.....

Wanadamu hatupaswi kuwa hivyo ndugu yangu........

Nje ya tofauti zetu za hapa na pale bado Sisi ni viumbe wa Mungu na kuna kundi la watu nyuma yetu wanaotutegemea........

Tusifikie huko mpaka kuharibiana ridhiki......unajipa laana na kufuru kwa mola wako.......

Ili mradi amejiona anatosha basi muache awanie.... wenye maamuzi wataamua........

Sisi sote ni waja tu chini ya jua.....mwisho wa siku sote tutafukiwa ardhini....yote tunayoyapigania tunayaacha........

NB
Chuki humchoma aliyeiifadhi........
Napia chuki hukaa kifuani mwa mjinga mimi sio yanga ila jamaa nahisi ni miongoni mwa hao vijana wameamua waje kivingine
 
Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.

Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.

Yaani Engineer Hersi anamsalimia shikamoo babu Manara kila siku, inaboa
Hivi huyo mzee watu hawammegei demu wake kweli
 
Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.

Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.

Yaani Engineer Hersi anamsalimia shikamoo babu Manara kila siku, inaboa
Hivi njaa kumuuma mtu inaishia miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom