Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Mtu anasema mimi nahangaika jasho linanitoka "kulinda brand" na "Ubalozi" wa bidhaa!
nadhani haya ni matusi kwa wapambanaji halisi!
nadhani haya ni matusi kwa wapambanaji halisi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna kosa kubwa walilo lifananya GSM na Hersi ni kumleta huyu jamaa Yanga. Huyu jamaa nilishamkataa tokea kipindi yupo kwa mtani baada kumtukana Mwakalebela na tumbo lake. Yaani huyu pale Yanga hafai kuwa hata mlinzi getini.