Kama kuna kosa kubwa walilo lifananya GSM na Hersi ni kumleta huyu jamaa Yanga. Huyu jamaa nilishamkataa tokea kipindi yupo kwa mtani baada kumtukana Mwakalebela na tumbo lake. Yaani huyu pale Yanga hafai kuwa hata mlinzi getini.
Manara mpuuzi na mfitini sana, hovyo sana kuanzia tabia hadi sura. hovyo hovyo kabisa, hafai hata kidogo kuwa sio Yanga tu, timu yoyote, ana tabia chafu chafu.!!