Hivi mtu mzima meenye akili timamu ukikubali kufanya kazi kwa hiari yako mwenyewe kama dei waka, utawezaje kusema baada ya miaka mingi kuwa nawapeleka mahakamani?
Je ulitumikishwa ukiwa chini ya miaka 18 au? Maana ni mtoto tu ndiye hawezi kuingia makubaliano ya aina yoyote ile.
Haji Manara aliridhika kwa hiari yake kuwa dei waka wa simba japo hayo malipo ya siku moja moja aliridhia pia atunziwe ili aje kupewa mwishk wa mwezi.
Alipoingia tu utopolo akili yote imetopoleka na anajidhalilisha kwa kauli tofauti kila siku!!