Haji Manara ni Simba damu, mnampaje kazi ya kuisemea Yanga?

Haji Manara ni Simba damu, mnampaje kazi ya kuisemea Yanga?

Alifungiwa vipi na FAT kama si muajiriwa wa Yanga?
Alifungiwa kujihusisha na mpira na sio kuisemea Yanga, mpira una taratibu zake, na mamlaka inayosimamia inaweza kumfungia mtu yoyote bila kujali kama ni mwajiliwa wa timu fulani
 
Kumbe Mzee magoma alikuwa sawa, kuna watu ndio wamejipa umiliki wa timu yetu, wanaamua vyenye wanapenda wao.

Hyu manara baada ya kufukuzwa huko Simba ndio alikuja Yanga na leo anajifanya anaijua sana Yanga.
Kama GSM wanampenda sana huyu mtu si wampe u CEO wa Kampuni yao(GSM)?

Popote pale ulipo Mwananchi acha kununua jezi mpya paka Manara aondoshwe mara moja..

#Manara out#
Ahmed Ally ni Yanga lialia lakini anafanyakazi Simba.
 
= ninavyosikia
= wanaoambiwa

Kwanza jifunze Kiswahili, hakuna hayo magaga kwenye Kiswahili. Ukijuwa kuandika Kiswahili utajuwa hata kuelewa kilichoandikwa.
Mbona juzi haukupewa tuzo ya Kiswahili badala yake wameenda kupewa hao unaodai wanapendwa na majini?
 
Kitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
Duh!....hii kali Sasa....
 
Kitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
NilikuwA Sijui Lolote, Shukrani Mkuu Kwa Ufafanuzi
 
Manara kazi tuliyokutuma yanga unaifanya vyema sana
 
Back
Top Bottom