mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #21
Nachojua manara ni muhamasishaji tu, na hiki cheo hakipo wala kutambulika kwenye katiba ya Yanga, kiufupi Manara sio muajiriwa wa Yanga. Ila anaenda kuwa muajiriwa baada ya Ali kamwe ku resignKwani aliwacha kazi lini Yanga?
Yanga imeana kupata mafanikio alipoingia Haji Manara hapo, msisahau hilo.