Haji Manara ni Simba damu, mnampaje kazi ya kuisemea Yanga?

Haji Manara ni Simba damu, mnampaje kazi ya kuisemea Yanga?

Kwani aliwacha kazi lini Yanga?

Yanga imeana kupata mafanikio alipoingia Haji Manara hapo, msisahau hilo.
Nachojua manara ni muhamasishaji tu, na hiki cheo hakipo wala kutambulika kwenye katiba ya Yanga, kiufupi Manara sio muajiriwa wa Yanga. Ila anaenda kuwa muajiriwa baada ya Ali kamwe ku resign
 
Mimi ninavyosikiaga kuna wanaoambiwaga wapeleke viungo, nje ya hapo sijui ndiyo maana nikaomba udadavue. Au yeye anahusika katika kuvitafuta?
= ninavyosikia
= wanaoambiwa

Kwanza jifunze Kiswahili, hakuna hayo magaga kwenye Kiswahili. Ukijuwa kuandika Kiswahili utajuwa hata kuelewa kilichoandikwa.
 
Nachojua manara ni muhamasishaji tu, na hiki cheo hakipo wala kutambulika kwenye katiba ya Yanga, kiufupi Manara sio muajiriwa wa Yanga. Ila anaenda kuwa muajiriwa baada ya Ali kamwe ku resign
Alifungiwa vipi na FAT kama si muajiriwa wa Yanga?
 
Kumbe Mzee magoma alikuwa sawa, kuna watu ndio wamejipa umiliki wa timu yetu, wanaamua vyenye wanapenda wao.

Hyu manara baada ya kufukuzwa huko Simba ndio alikuja Yanga na leo anajifanya anaijua sana Yanga.
Kama GSM wanampenda sana huyu mtu si wampe u CEO wa Kampuni yao(GSM)?

Popote pale ulipo Mwananchi acha kununua jezi mpya paka Manara aondoshwe mara moja..

#Manara out#
Wamerogwa
 
Kitu msichoelewa ni kuwa ukoo wa GSM una uhusiano mkubwa na majinni. Majinni tu ndiyo wanaelewa umuhimu wa kuwa na albino katika mambo yao.
Ila we mama sijui bibi kuna kipindi unakuwa hamnazo kabisa.
 
Mimi siyo mama'ko wala bibi yako. Ficha upumbavu wako.
Na nashukuru pia wewe sio mama yangu wala bibi yangu. Nisingetaka mzazi wangu ama jamaa yangu yeyote akose staha na hekima kama ulivyokosa wewe bwege mtozeni.

By the way, it takes one fool to know the other. Hivyo ikiwa mimi nina upumbavu basi ni hakika wewe una upumbavu zaidi kiasi cha kuuona upumbavu wangu. Khabithi wa kike mmoja wewe.
 
Mnae huyo,Yanga ikifungwa anaenda kuchekea chooni na akishalewa huwa anaropoka kuwa hapo anapiga hela ya Ghalib tu
 

Attachments

  • VID-20240720-WA0006.mp4
    2.5 MB
Back
Top Bottom