OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haji yuko vizuri tu ila lazima awe na kiasi katika kila jambo. Kila Club lazima iwe na mipango yake ambayo inatekelezwa kimyakimya, sio lazima tufanane na simba kwa kila kitu kila jambo. Kila mtu afanye kivyake lakini tukutane uwanjani. Ile ya kusema Yanga tuko sahihi tuko sahihi tuko sahihi maana sisi tunafanya hivi nyie mnafanya vilee sio sawa. Huko ni kuuza mipango ya yanga kwa adui kwakujua au kwa kutokujua, makusudi au bahati mbaya, kudhamiria au kuponyokwa tu, Wahenga wanasema "ukijamba kwa hasira utajinyea" be calm brother, hata Mtume Mohamed SAW alidhihakiwa sana lakini hakupoteza focus.Kutesa kwa zamu
Kumuandalia UZI kama huu ndo unazid kumpaishaBinafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu kinachojirudiarudia kila wakati, hata harufu ya chooni inapotea puani kama utakaa chooni kwa muda mrefu.
Hebu jikite kwenye club yako mpya ya yanga Sasa wakati huu wa maandalizi ya kuanza msimu mwingine, uchaguzi na mabadiliko.
Kuendelea kuikosoa Simba ni njia nyingine ya wazi ya kuitaka Simba irekebishe makosa yake ili ifanye vizuri kuizidi Yanga, hii ndiyo sababu ya wahenga kusema aliyelala usimwamshe ukimuamsha utalala wewe.
Sisi Wanayanga tunadhani kuwa unafanya hivyo ili kuiamsha Simba iliyolala. Maana bado moyo wako uko Simba, siku Barbara na mo wakiondka Simba unaweza kurudi Simba.
Utani uwepo lakini sio wa kila saa 24/7 kwa 365. Mipango ya Yanga Wacha iwe Siri ya Yanga na Simba Wana mipango Yao usiibeze. Mfano, unaposema huwezi kujenga uwanja kwa mchango wa buku buku wewe unaumia nini? Who are you to challenge their plans? Yaani unauza kwa Simba mipango ya Yanga ya namna yao ya kujenga uwanja au una maana gani?
Kila kitu lazima kiwe na kiasi. Iko siku watu watakustukia Haji mwanangu kwa ukosoaji wako huo wa Simba kwa kufananisha na mipango ya Yanga kwenye kila jambo, unauza Siri za Yanga kwa Simba kwa jina la utani wa jadi, haitakubalika kwa wanayanga.
Sa bruh bila simba atakula wapi maaana pale yanga cheo alicho nacho ndo icho eti mwamasishajiBinafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu kinachojirudiarudia kila wakati, hata harufu ya chooni inapotea puani kama utakaa chooni kwa muda mrefu.
Hebu jikite kwenye club yako mpya ya yanga Sasa wakati huu wa maandalizi ya kuanza msimu mwingine, uchaguzi na mabadiliko.
Kuendelea kuikosoa Simba ni njia nyingine ya wazi ya kuitaka Simba irekebishe makosa yake ili ifanye vizuri kuizidi Yanga, hii ndiyo sababu ya wahenga kusema aliyelala usimwamshe ukimuamsha utalala wewe.
Sisi Wanayanga tunadhani kuwa unafanya hivyo ili kuiamsha Simba iliyolala. Maana bado moyo wako uko Simba, siku Barbara na mo wakiondka Simba unaweza kurudi Simba.
Utani uwepo lakini sio wa kila saa 24/7 kwa 365. Mipango ya Yanga Wacha iwe Siri ya Yanga na Simba Wana mipango Yao usiibeze. Mfano, unaposema huwezi kujenga uwanja kwa mchango wa buku buku wewe unaumia nini? Who are you to challenge their plans? Yaani unauza kwa Simba mipango ya Yanga ya namna yao ya kujenga uwanja au una maana gani?
Kila kitu lazima kiwe na kiasi. Iko siku watu watakustukia Haji mwanangu kwa ukosoaji wako huo wa Simba kwa kufananisha na mipango ya Yanga kwenye kila jambo, unauza Siri za Yanga kwa Simba kwa jina la utani wa jadi, haitakubalika kwa wanayanga.
Manara utamchukia akiwa timu pinzani, akiwa timu yako ni burudani tu.
Kipindi manara akiwa simba hata yanga walikuwa wanalalamika hivi hivi.
Jamaa linajua kukera hiloo , ile mineno sijui anatoaga wapi huyu kiumbe, eti jezi za simba ni kama shuka la kihadzabe[emoji23][emoji23]
Kuna haja ya kufufua hii kesi.
Simba n timu ya Babu yake, ndiyo maana akina Barbara wasioifahamu timu wanamkera sana
Tena hasa kama huyo mwanaume ndiye aliyemtoa usichana wake lazima atamkumbuka daima.Ukiona bado anamtajataja ujue bado anampenda.
Alipo kua Simba Mbona kila uchwao alikua anaitaja yanga hamkuja na malalamiko tulieni tuuBinafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu kinachojirudiarudia kila wakati, hata harufu ya chooni inapotea puani kama utakaa chooni kwa muda mrefu.
Hebu jikite kwenye club yako mpya ya yanga Sasa wakati huu wa maandalizi ya kuanza msimu mwingine, uchaguzi na mabadiliko.
Kuendelea kuikosoa Simba ni njia nyingine ya wazi ya kuitaka Simba irekebishe makosa yake ili ifanye vizuri kuizidi Yanga, hii ndiyo sababu ya wahenga kusema aliyelala usimwamshe ukimuamsha utalala wewe.
Sisi Wanayanga tunadhani kuwa unafanya hivyo ili kuiamsha Simba iliyolala. Maana bado moyo wako uko Simba, siku Barbara na mo wakiondka Simba unaweza kurudi Simba.
Utani uwepo lakini sio wa kila saa 24/7 kwa 365. Mipango ya Yanga Wacha iwe Siri ya Yanga na Simba Wana mipango Yao usiibeze. Mfano, unaposema huwezi kujenga uwanja kwa mchango wa buku buku wewe unaumia nini? Who are you to challenge their plans? Yaani unauza kwa Simba mipango ya Yanga ya namna yao ya kujenga uwanja au una maana gani?
Kila kitu lazima kiwe na kiasi. Iko siku watu watakustukia Haji mwanangu kwa ukosoaji wako huo wa Simba kwa kufananisha na mipango ya Yanga kwenye kila jambo, unauza Siri za Yanga kwa Simba kwa jina la utani wa jadi, haitakubalika kwa wanayanga.
Na hakuna mtu anakuwa Simba au Yanga akiwa na miaka 40+, huyu msukule yupo Yanga kikazi tu,wacha apige hela.Haji hakuwa Simba kwa bahati mbaya TU, bali ni urithi wa Babu yake mzaa mama yake ambae alikuwa kiongozi mkubwa wa Simba. Sio kwamba ni jambo la utaniutani kwa Haji kuwa Simba na kuondoka Simba.
Haji inazifahamu simba na yanga kuliko wewe, mimi na vichambuzi uchwara vyote vya mpira nchi. Ana historia nazo, ameziishi. Hata nepi yake ya kwanza alinunuliwa kwa posho ya baba yake aliyoipata Yanga. Lakini babu yake mzaa mama yake aliwahi kuwa mwenyekiti wa Simba.Timu ya babu yake???kwa hyo ameachiwa urithi co???
Ni ngumu kumsahau mwanaume wako aliyekupa taraka bila kutarajia,Kila kitu utakachokipata utafikiri kasababisha yeye,ukimpata mikosi na balaa utasema yeye ndo amesababisha,ukifanikiwa kimaisha utasema yeye ndo alikuchelewesha,kwahiyo Kila siku utakuwa unasema iwe Kwa mazuri au mabayaBinafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu kinachojirudiarudia kila wakati, hata harufu ya chooni inapotea puani kama utakaa chooni kwa muda mrefu.