Haji Manara-Shujaa wangu!!!!

Haji Manara-Shujaa wangu!!!!

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Jana tumefanikiwa kucheza AFCON na wote tumekimbilia kumpongeza Makonda huku tukimsahau mhamsishaji mkuu ambaye amefanikiwa kuwafanya watu waelewe na kukubali kuwa "Inawezekana",Yes,We can!!
Haji ametia hamasa mpaka Simba imeingia robo fainali na naona mwamko huyo umetusaidia kwa Taifa Stars.
Haji Manara,Shujaa wangu!
 
... kikosi cha Stars kina wangapi Simba, Yanga, na timu zingine? Waliofunga mabao jana ni wa vilabu gani? Sorry, haya mambo ya soka mimi ni mweupe.
 
Jana tumefanikiwa kucheza AFCON na wote tumekimbilia kumpongeza Makonda huku tukimsahau mhamsishaji mkuu ambaye amefanikiwa kuwafanya watu waelewe na kukubali kuwa "Inawezekana",Yes,We can!!
Haji ametia hamasa mpaka Simba imeingia robo fainali na naona mwamko huyo umetusaidia kwa Taifa Stars.
Haji Manara,Shujaa wangu!
we ni simba, hebu sema kweli mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanza kufikiri ni Wachezaji wangapi ndani ya Stars wanatokea Simba, Yanga, Azam nk, ili kupata uhalali wakina Nani wanaunda Stars utakua ukosea Sana, na ikiwa kweli Watanzania wote hapo Jana wangefikir kama wew basi ni hakika hamasa ingekua ni hafifu na pengine tusingeweza kupata matokeo ieleweke kwamba linapokuja swala la Utaifa Duniani kote basi itikadi zetu, mapenzi yetu tunaweka pembeni na kufungamana na kuwa wamoja na ndicho kilichofanyika Jana hii ndio nguzo kuu ya ushindi wetu, tunapaswa kuendelea hivyo.
 
Back
Top Bottom