... kikosi cha Stars kina wangapi Simba, Yanga, na timu zingine? Waliofunga mabao jana ni wa vilabu gani? Sorry, haya mambo ya soka mimi ni mweupe.[/QUOT
Kweli wanaojua watujulishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... kikosi cha Stars kina wangapi Simba, Yanga, na timu zingine? Waliofunga mabao jana ni wa vilabu gani? Sorry, haya mambo ya soka mimi ni mweupe.[/QUOT
Kweli wanaojua watujulishe
Nyoni goli 1... kikosi cha Stars kina wangapi Simba, Yanga, na timu zingine? Waliofunga mabao jana ni wa vilabu gani? Sorry, haya mambo ya soka mimi ni mweupe.
Jana tumefanikiwa kucheza AFCON na wote tumekimbilia kumpongeza Makonda huku tukimsahau mhamsishaji mkuu ambaye amefanikiwa kuwafanya watu waelewe na kukubali kuwa "Inawezekana",Yes,We can!!
Haji ametia hamasa mpaka Simba imeingia robo fainali na naona mwamko huyo umetusaidia kwa Taifa Stars.
Haji Manara,Shujaa wangu!
Manara ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa Kamati ndogo ya uhamasishaji.Amefanya kazi nzuri na kamati yake ndio maana uwanja ukajaa na bado nusu ya watu walikosa nafasi ya kuingia. Watazamaji walikuwa 12th player na ushindi ukapatikana.Huyo Manara wako amehamasisha nini kuhusu Taifa Stars...tupe ushahidi na data
Manara ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa Kamati ndogo ya uhamasishaji.Amefanya kazi nzuri na kamati yake ndio maana uwanja ukajaa na bado nusu ya watu walikosa nafasi ya kuingia. Watazamaji walikuwa 12th player na ushindi ukapatikana.
Ndio sababu akapewa nafasi ya kuzungumza leo katika hafla ya kuwapongeza wachezaji iliyofanyika Ikulu mbele ya Rais Magufuli.

Ni nani alimpongeza Makonda , kwa lipi ?Jana tumefanikiwa kucheza AFCON na wote tumekimbilia kumpongeza Makonda huku tukimsahau mhamsishaji mkuu ambaye amefanikiwa kuwafanya watu waelewe na kukubali kuwa "Inawezekana",Yes,We can!!
Haji ametia hamasa mpaka Simba imeingia robo fainali na naona mwamko huyo umetusaidia kwa Taifa Stars.
Haji Manara,Shujaa wangu!
Tatizo kubwa mnajua kusoma lakini hamjui kuelewa.Soma tena post yangu.Angalia kauli mbinu ya "Yes,we can" ya Haji Manara na kilichotokea Simba.Huoni kuwa Manara ameonyesha njia na kuwatia wengine uthubutu?Huyo Manara wako amehamasisha nini kuhusu Taifa Stars...tupe ushahidi na data
Jana tumefanikiwa kucheza AFCON na wote tumekimbilia kumpongeza Makonda huku tukimsahau mhamsishaji mkuu ambaye amefanikiwa kuwafanya watu waelewe na kukubali kuwa "Inawezekana",Yes,We can!!
Haji ametia hamasa mpaka Simba imeingia robo fainali na naona mwamko huyo umetusaidia kwa Taifa Stars.
Haji Manara,Shujaa wangu!
Makonda akili dogo sana. Sema ana enjoy mbeleko ya MagufuliHaji Manara ni akili kubwa
Huyo Mpuuzi Hana Msaada Wowote Zaidi Ya Masifa Ya Kipuuzi. Simba Ni Club Ya Kipuuzi Sana