Haji Manara-Shujaa wangu!!!!

Haji Manara-Shujaa wangu!!!!

... kikosi cha Stars kina wangapi Simba, Yanga, na timu zingine? Waliofunga mabao jana ni wa vilabu gani? Sorry, haya mambo ya soka mimi ni mweupe.[/QUOT

Kweli wanaojua watujulishe
 
Jana tumefanikiwa kucheza AFCON na wote tumekimbilia kumpongeza Makonda huku tukimsahau mhamsishaji mkuu ambaye amefanikiwa kuwafanya watu waelewe na kukubali kuwa "Inawezekana",Yes,We can!!
Haji ametia hamasa mpaka Simba imeingia robo fainali na naona mwamko huyo umetusaidia kwa Taifa Stars.
Haji Manara,Shujaa wangu!

Huyo Manara wako amehamasisha nini kuhusu Taifa Stars...tupe ushahidi na data
 
Manara ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa Kamati ndogo ya uhamasishaji.Amefanya kazi nzuri na kamati yake ndio maana uwanja ukajaa na bado nusu ya watu walikosa nafasi ya kuingia. Watazamaji walikuwa 12th player na ushindi ukapatikana.
Ndio sababu akapewa nafasi ya kuzungumza leo katika hafla ya kuwapongeza wachezaji iliyofanyika Ikulu mbele ya Rais Magufuli.
 
Hivyo hiyo mechi ilikuwa inahitaji uhamasishaji??!! Na huyo Manara alihamasisha vipi...naomba data hapa...alitangaza kwenye vyombo vya habari??? Aliitisha mikutano na wananchi?? Alifanya nini hasa....alitumia social media?? Ni ushahidi upi kwamba ni uhamasishaji wake ndio uliofanya uwanja ukajaa??? Tupatie scientific explanation...msituletee sifa zisizostahili kwa watu hapa..tupatie scientifc explanation...Tuambie na wale wanenguaji wenye sifa mbaya mitandaoni nao wamehamasisha vipi...mtueleze...Je, waliitisha mikutano mingi ya waandishi wa habari kuhamasisha? Au pengine walikuwa wanapita mitaani wakiwa kwenye gari la wazi na kuhamasisha huku wakinengua kama wafanyavyo watu wa promotion?? Tell us...Provide a scientific explanation...
 
Mkuu ulikuwa jela nini?Kama hukuona uhamasishaji kwenye vituo vya redio,TV, magazeti,press Conference , social medias na vituo vya wapenzi wa mpira basi utakuwa na matatizo ya macho na masikio.
Unafikiri nyomi la watu waliojaa uwanja wa Taifa na hata wengine kushindwa kuingia uwanjani walikurupuka tu.
Daladala ziliruhusiwa kuacha route zao za kawaida ili kuwapeleka watu uwanja wa Taifa.
Acha wivu. Pongeza walioshiriki katika kazi hiyo kubwa hata kama huwapendi binafsi.
Na hiyo ndio inaitwa maturity.
 
Jana tumefanikiwa kucheza AFCON na wote tumekimbilia kumpongeza Makonda huku tukimsahau mhamsishaji mkuu ambaye amefanikiwa kuwafanya watu waelewe na kukubali kuwa "Inawezekana",Yes,We can!!
Haji ametia hamasa mpaka Simba imeingia robo fainali na naona mwamko huyo umetusaidia kwa Taifa Stars.
Haji Manara,Shujaa wangu!
Ni nani alimpongeza Makonda , kwa lipi ?
 
Huyo Manara wako amehamasisha nini kuhusu Taifa Stars...tupe ushahidi na data
Tatizo kubwa mnajua kusoma lakini hamjui kuelewa.Soma tena post yangu.Angalia kauli mbinu ya "Yes,we can" ya Haji Manara na kilichotokea Simba.Huoni kuwa Manara ameonyesha njia na kuwatia wengine uthubutu?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
We utakuwa kilaza sana ..kama haji manara ndo shujaa wako... Hatari sana

Jana tumefanikiwa kucheza AFCON na wote tumekimbilia kumpongeza Makonda huku tukimsahau mhamsishaji mkuu ambaye amefanikiwa kuwafanya watu waelewe na kukubali kuwa "Inawezekana",Yes,We can!!
Haji ametia hamasa mpaka Simba imeingia robo fainali na naona mwamko huyo umetusaidia kwa Taifa Stars.
Haji Manara,Shujaa wangu!
 
Huyo Mpuuzi Hana Msaada Wowote Zaidi Ya Masifa Ya Kipuuzi. Simba Ni Club Ya Kipuuzi Sana

Teh teh teh,

Timu ya kipuuzi unayoionea wivu kwa kuwa inafanya vitu ambavyo hamkuwahi na hamtawahi kuvifanya hadi dunia isimame.

Shame on you jeolosy Ndalaz msiotaka kujifunza bali mmejawa na majungu tu,mtabaki hivyo hivyo na uchuro wenu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom