Huyo Mpuuzi Hana Msaada Wowote Zaidi Ya Masifa Ya Kipuuzi. Simba Ni Club Ya Kipuuzi Sana
Haji is the best Jocker
.Huyo Mpuuzi Hana Msaada Wowote Zaidi Ya Masifa Ya Kipuuzi. Simba Ni Club Ya Kipuuzi Sana
Na wewe ni mpumbavu kabisa.Huyo Mpuuzi Hana Msaada Wowote Zaidi Ya Masifa Ya Kipuuzi. Simba Ni Club Ya Kipuuzi Sana
we ni simba, hebu sema kweli mkuu?Jana tumefanikiwa kucheza AFCON na wote tumekimbilia kumpongeza Makonda huku tukimsahau mhamsishaji mkuu ambaye amefanikiwa kuwafanya watu waelewe na kukubali kuwa "Inawezekana",Yes,We can!!
Haji ametia hamasa mpaka Simba imeingia robo fainali na naona mwamko huyo umetusaidia kwa Taifa Stars.
Haji Manara,Shujaa wangu!
ni kweli ni klabu ya kipuuzi ndo maana imefika robo fainali.Huyo Mpuuzi Hana Msaada Wowote Zaidi Ya Masifa Ya Kipuuzi. Simba Ni Club Ya Kipuuzi Sana
ni wapi ameongelea kuwa anaisifia simba?... kikosi cha Stars kina wangapi Simba, Yanga, na timu zingine? Waliofunga mabao jana ni wa vilabu gani? Sorry, haya mambo ya soka mimi ni mweupe.
Goli la penati ni moja, vipi khs yale mawili?Ushindi wa kupeana penalty nao ni ushindi?
Shida ni kuwa hatusomi na kutafakari.Suala kubwa hapa ni uhamasishaji na utiaji moyo kiasi ambacho yaliyoonekana hayawezekani yakawezekana.
****J muleka** mputu**kalaba****Huyo Mpuuzi Hana Msaada Wowote Zaidi Ya Masifa Ya Kipuuzi. Simba Ni Club Ya Kipuuzi Sana
Kama ulivyompuuzi usiyetaka kupongeza juhudi za watoto wa wenzieHuyo Mpuuzi Hana Msaada Wowote Zaidi Ya Masifa Ya Kipuuzi. Simba Ni Club Ya Kipuuzi Sana