Haji Manara: "Simba ndio wa Kimataifa"

Haji Manara: "Simba ndio wa Kimataifa"

Mnawakumbuka hawa: Peter Manyika, Ali Mayai, Salvatory Edward, Bakari Malima, Sekilojo Johnson Chambua, Ephraem Makoye, Edibily Jonas Lunyamila, Kali Ongala. Tajeni wengine wakuu kikosi hiki cha 1998-1999.

Uniambii kitu kuhusu YANGA!!
Ali Yusuph Tigana, Maalim Salehe "Romario"
 
Khaa,basi hakuna haja ya kuwakumbuka kina Pele,Maradona,
Kuna haja gani ya timu Kama Man u kutaka kujenga sanamu ya Bob Charlton kama history is nothing
Kuna tofauti kati ya historia za Pele/maradona and whatever ambao wamestaafu, na hii historia ya wa mchangani...kwa sababu wa mchangani bado mpo kwenye game but ndo mnatumia historia kujifafanua...pigeni boli mue wa kimataifa kwa sasa historia kama hizo "timu ya kwanza kua na basi" haina mashiko karne hii 21 eboo!
 
Watanzania tunachojuaga ni history ambayo haaisadi kitu.

Hata Baba Yako Kabla Ya Kutaka Kumuoa Mama Yako Kwanza Alizingatia Historia Ya Familia Yake Hivyo Historia Ni Kitu Muhimu Sana Kokote Na Kwa Great Thinker Wa JF Kama Wewe Kusema Historia Haisaaidii Sina Shaka Kabisa Kuwa Unamiliki Ubongo Wa Panzi au Mjusi.
 
Kumwita Haji Manara Ambaye Ni Afisa Hbr Wa Klabu, Eti Ni ZERUZERU, Huo Sio Ustaarabu Wa Kisoka Wala Kitanzania Au Kibinadamu!! HUO Ni Unyanyapaa Na Ubaguzi Mkubwa, Uliyemwita Hivyo Yakupasaa Uombe Radhi Na Ufute Kauli Yako!! Mbona Yeye (HAJI MANARA) Hajaongea Ubaguzi Na Unyanyapaa Kwa Mtu Binafsi, Ameweka Data Zake Hapo, Na Amesema Mwenye Kutaka Kupinga, Basi Apinge Kwa Data Pia, Sio Porojo Na Propaganda Tu!! Ameenda Mbali, Kuwa Watu WAJADILIANE Issues, Sio Watu Na Maisha Yao, Kasoro Zao Za Kiumbaji N.k. SASA Mtu Kusema "ETI ZERUZERU HAPO ANAONA AMEONGEA "Sio Sehemu Ya Soka!!

au Anataka Na Sisi Tunaomjua Jerry Muro In And Out Tuseme Anachofanyiwa Ambacho Hakuna Mwandishi Wa Habari Hapa Tanzania Asiyejua Ila Watu Tunamsitiri Tu? Umeshajiuliza Ni Kwanini Hapo Yanga Anapendwa Na Kuhudumiwa Mno Na Waarabu Na Kambi Kubwa Ikiwa Hapo Mkabala Na SUPER DOLL Kariakoo? Natoa ONYO Kwa Mwana Yanga Yoyote UZI Huu Naruhusu UTANI Wa Hapa Na Pale Kwani Hata Mimi Ni MPENDA UTANI NILIYETUKUKA Ila Kitendo Cha Kumuita Haji Manara Kwa Dharau Kuwa Ni ZERU ZERU Na Mimi Nitamwaga Yote Hapa Ya Msemaji Wenu Jerry Muro NIMUAIBISHE Na Yanga MUAIBIKE Pia Kisha Niinukishe Thread Nzima TUHESHIMIANE! Uliyemuita Haji Manara ZERU ZERU Kama Unajitambua Na Unajiheshimu TUNAKUOMBA UTUOMBE RADHI SASA HIVI SISI WATANZANIA WAPENDA MICHEZO.
 
Sasa wewe umuweke Jerry kwani na yeye kaanzisha uzi hapa??muweke huyo huyo aliemsema Haji..Acha kudandia treni kwa mbele Na mimi naanza kukudharau kwa ushabiki wako maandazi...Jerry Muro hayupo hapa kwenye uzi ila Haji Manara yupo..upo hapo!!
 
Na yeye ni msemaji maandazi tu rekodi zote hizo alizoweka alitakiwa azilinganishe na Yanga sio ajisemee tu za Simba.,analeta story za vijiweni kwenye mambo serious banaa. Hizi ni story kama Liverfool kila siku kuweka history wakati wanachezea vichapo na hawajaweza chukua PL kwa miaka kibao.Na wao huwa wanaorodhesha upumbavu kama huu huu wa huyu kilaza Manara wakiwa wanabishana ...Yanga ni wa kimataifa toka Enzi na Simba ni wa mchangani hilo liko wazi na wala sio rocket science.
Et timu ya kwanza kuvaa viatu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sasa wewe umuweke Jerry kwani na yeye kaanzisha uzi hapa??muweke huyo huyo aliemsema Haji..Acha kudandia treni kwa mbele Na mimi naanza kukudharau kwa ushabiki wako maandazi...Jerry Muro hayupo hapa kwenye uzi ila Haji Manara yupo..upo hapo!!

Akitukanwa Haji Manara Ni Sawa Nimetukanwa Mimi Kwani Ni MSEMAJI WANGU ALIYETUKUKA Wa Klabu Ya Simba Sports Club. Halafu Kwa Aina Ya Michango Yako Unayoitoa Hapa Sidhani Kama Una HADHI Yoyote Ya Kuweza Kujibizana Na Mimi Kwani Nimegindua Ni Mtupu KICHWANI. Wakati Wewe Ukianza KUNIDHARAU Sasa Na Leo Mimi NILIKUDHARAU Miezi Takribani Sita ( 6 ) Iliyopita.
 
Mimi sio mfuatiliaji wa Mpira lakini Manara ni vuvuzela jamaa anaongea mnoo!....

Mimi Siyo Mfuatiliaji Wa Mpira Lakini Muro Ni POPOMA ALIYETUKUKA Jamaa Anahara Mno Mdomoni!.....
 
Back
Top Bottom