Kumwita Haji Manara Ambaye Ni Afisa Hbr Wa Klabu, Eti Ni ZERUZERU, Huo Sio Ustaarabu Wa Kisoka Wala Kitanzania Au Kibinadamu!! HUO Ni Unyanyapaa Na Ubaguzi Mkubwa, Uliyemwita Hivyo Yakupasaa Uombe Radhi Na Ufute Kauli Yako!! Mbona Yeye (HAJI MANARA) Hajaongea Ubaguzi Na Unyanyapaa Kwa Mtu Binafsi, Ameweka Data Zake Hapo, Na Amesema Mwenye Kutaka Kupinga, Basi Apinge Kwa Data Pia, Sio Porojo Na Propaganda Tu!! Ameenda Mbali, Kuwa Watu WAJADILIANE Issues, Sio Watu Na Maisha Yao, Kasoro Zao Za Kiumbaji N.k. SASA Mtu Kusema "ETI ZERUZERU HAPO ANAONA AMEONGEA "Sio Sehemu Ya Soka!!