Ali Yusuph Tigana, Maalim Salehe "Romario"Mnawakumbuka hawa: Peter Manyika, Ali Mayai, Salvatory Edward, Bakari Malima, Sekilojo Johnson Chambua, Ephraem Makoye, Edibily Jonas Lunyamila, Kali Ongala. Tajeni wengine wakuu kikosi hiki cha 1998-1999.
Uniambii kitu kuhusu YANGA!!
Kuna tofauti kati ya historia za Pele/maradona and whatever ambao wamestaafu, na hii historia ya wa mchangani...kwa sababu wa mchangani bado mpo kwenye game but ndo mnatumia historia kujifafanua...pigeni boli mue wa kimataifa kwa sasa historia kama hizo "timu ya kwanza kua na basi" haina mashiko karne hii 21 eboo!Khaa,basi hakuna haja ya kuwakumbuka kina Pele,Maradona,
Kuna haja gani ya timu Kama Man u kutaka kujenga sanamu ya Bob Charlton kama history is nothing
Hivi mwaka huu Simba itashiriki mashindano gani ya Kimataifa?
Haji manara,sunday manara,kassimu manara,hawa ni ndugu?
Sawa Bibi nitamuuliza shangazi.Kamuulize Shangazi Yako.
Watanzania tunachojuaga ni history ambayo haaisadi kitu.
Simba ndio timu pekee isiokuwa na uwanja tangu Mwaka 1938 hadi Leo. Ongezea nyingine.
Kumwita Haji Manara Ambaye Ni Afisa Hbr Wa Klabu, Eti Ni ZERUZERU, Huo Sio Ustaarabu Wa Kisoka Wala Kitanzania Au Kibinadamu!! HUO Ni Unyanyapaa Na Ubaguzi Mkubwa, Uliyemwita Hivyo Yakupasaa Uombe Radhi Na Ufute Kauli Yako!! Mbona Yeye (HAJI MANARA) Hajaongea Ubaguzi Na Unyanyapaa Kwa Mtu Binafsi, Ameweka Data Zake Hapo, Na Amesema Mwenye Kutaka Kupinga, Basi Apinge Kwa Data Pia, Sio Porojo Na Propaganda Tu!! Ameenda Mbali, Kuwa Watu WAJADILIANE Issues, Sio Watu Na Maisha Yao, Kasoro Zao Za Kiumbaji N.k. SASA Mtu Kusema "ETI ZERUZERU HAPO ANAONA AMEONGEA "Sio Sehemu Ya Soka!!
mkuu heshima yako dah nashukuru. Yuko wapi siku hizAli Yusuph Tigana, Maalim Salehe "Romario"
Sasa wewe umuweke Jerry kwani na yeye kaanzisha uzi hapa??muweke huyo huyo aliemsema Haji..Acha kudandia treni kwa mbele Na mimi naanza kukudharau kwa ushabiki wako maandazi...Jerry Muro hayupo hapa kwenye uzi ila Haji Manara yupo..upo hapo!!au Anataka Na Sisi Tunaomjua Jerry Muro In And Out Tuseme Anachofanyiwa Ambacho Hakuna Mwandishi Wa Habari Hapa Tanzania Asiyejua Ila Watu Tunamsitiri Tu? Umeshajiuliza Ni Kwanini Hapo Yanga Anapendwa Na Kuhudumiwa Mno Na Waarabu Na Kambi Kubwa Ikiwa Hapo Mkabala Na SUPER DOLL Kariakoo? Natoa ONYO Kwa Mwana Yanga Yoyote UZI Huu Naruhusu UTANI Wa Hapa Na Pale Kwani Hata Mimi Ni MPENDA UTANI NILIYETUKUKA Ila Kitendo Cha Kumuita Haji Manara Kwa Dharau Kuwa Ni ZERU ZERU Na Mimi Nitamwaga Yote Hapa Ya Msemaji Wenu Jerry Muro NIMUAIBISHE Na Yanga MUAIBIKE Pia Kisha Niinukishe Thread Nzima TUHESHIMIANE! Uliyemuita Haji Manara ZERU ZERU Kama Unajitambua Na Unajiheshimu TUNAKUOMBA UTUOMBE RADHI SASA HIVI SISI WATANZANIA WAPENDA MICHEZO.
Mkuu mbona ulisema tuweke matusi pembeni, tujadili hoja!Unauliza Chupi Matakoni?
Et timu ya kwanza kuvaa viatu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na yeye ni msemaji maandazi tu rekodi zote hizo alizoweka alitakiwa azilinganishe na Yanga sio ajisemee tu za Simba.,analeta story za vijiweni kwenye mambo serious banaa. Hizi ni story kama Liverfool kila siku kuweka history wakati wanachezea vichapo na hawajaweza chukua PL kwa miaka kibao.Na wao huwa wanaorodhesha upumbavu kama huu huu wa huyu kilaza Manara wakiwa wanabishana ...Yanga ni wa kimataifa toka Enzi na Simba ni wa mchangani hilo liko wazi na wala sio rocket science.
Sasa wewe umuweke Jerry kwani na yeye kaanzisha uzi hapa??muweke huyo huyo aliemsema Haji..Acha kudandia treni kwa mbele Na mimi naanza kukudharau kwa ushabiki wako maandazi...Jerry Muro hayupo hapa kwenye uzi ila Haji Manara yupo..upo hapo!!
Mkuu mbona ulisema tuweke matusi pembeni, tujadili hoja!
Mimi sio mfuatiliaji wa Mpira lakini Manara ni vuvuzela jamaa anaongea mnoo!....
Sasa ule ni uwanja au bwawa la samaki!"Wana ndondo cup," uwanja wenu uko wapi?