Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Simba ndio timu ya kwanza kuibamiza Yanga mabao 6-0, kisha 5-0.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama yanga inacheza mechi ya kimataifa na taifa stars imekufa au? kimataifa = international. mashindano ya kimataifa yanachezwa na timu za taifa tu! wabongo inahitaji nguvu nyingi sana kuwaelimisha! messi hawezi kucheza mech ya kimataifa akiwa barca bali na argentina, the same kwa niyonzima, mechi zake za kimataifa anachezea rwanda. bahati mbaya hata waandishi na watangazaji uchwara wa kibongo huwa wanasema klabu ina mashindano ya kimataifa. sasa je, zile nchi zenye timu zaidi ya moja mfano egypt wakikutana kwn klabu bingwa inakuwa mechi ya kimataifa kati ya nchi gani na nchi gani? egypt na egypt? chels na man city wakikutana kwn UCL inakuwa mechi ya kimataifa??? nimechokaKwani kilikuwa kipindi cha historia? Wakati mkisubiri kadi ya mwaliko mapinduzi cup Yanga imeitwanga APR ya Rwanda 2:1 kwenye mechi ya kimataifa
Said Mwamba, Mwamed Huseni, Salvatus Ibrahim "police",.......Mnawakumbuka hawa: Peter Manyika, Ali Mayai, Salvatory Edward, Bakari Malima, Sekilojo Johnson Chambua, Ephraem Makoye, Edibily Jonas Lunyamila, Kali Ongala. Tajeni wengine wakuu kikosi hiki cha 1998-1999.
Uniambii kitu kuhusu YANGA!!
Lile kombe la Mapinduzi wao ndiyo wanaita kombe la CAFKwani simba walishawahi kuchukua kombe LA CAF?
Hahahaha kumbe mbwembwe zote hizi. Basi hawana jipyaLile kombe la Mapinduzi wao ndiyo wanaita kombe la CAF
Weka za yanga tuzione matusi ya nn?Na yeye ni msemaji maandazi tu rekodi zote hizo alizoweka alitakiwa azilinganishe na Yanga sio ajisemee tu za Simba.,analeta story za vijiweni kwenye mambo serious banaa. Hizi ni story kama Liverfool kila siku kuweka history wakati wanachezea vichapo na hawajaweza chukua PL kwa miaka kibao.Na wao huwa wanaorodhesha upumbavu kama huu huu wa huyu kilaza Manara wakiwa wanabishana ...Yanga ni wa kimataifa toka Enzi na Simba ni wa mchangani hilo liko wazi na wala sio rocket science.
Hapa ni record za simba vs yanga.....Tp mazembe anaingiaje tena? Mnatafuta chaka?Wakati mikia eti wakiwa wa kwanza kumiliki gari lao, TP Mazembe ilikuwa haijazaliwa. Lakini tayari imeishatwaa ubingwa wa Afrika.
Sisi tutabakia na record zetu za ajabu ajabu. Angalau kila nchi ina bingwa wake wa kihistoria katika ubora au u dhaifu wake kimataifa.
mkuu wonderful heshima yako yani nashukuru nilitaka kuwasahau hawa mashujaa wawili Said Mwamba "Kizota" na Mwamed Hussein dah!Said Mwamba, Mwamed Huseni, Salvatus Ibrahim "police",.......
Tofautisha msemaji wa Club na kocha.Jerry muro danadana mbili hamalizi