Haji Manara: "Simba ndio wa Kimataifa"

Haji Manara: "Simba ndio wa Kimataifa"

Kwani kilikuwa kipindi cha historia? Wakati mkisubiri kadi ya mwaliko mapinduzi cup Yanga imeitwanga APR ya Rwanda 2:1 kwenye mechi ya kimataifa
 
Kwani kilikuwa kipindi cha historia? Wakati mkisubiri kadi ya mwaliko mapinduzi cup Yanga imeitwanga APR ya Rwanda 2:1 kwenye mechi ya kimataifa
sasa kama yanga inacheza mechi ya kimataifa na taifa stars imekufa au? kimataifa = international. mashindano ya kimataifa yanachezwa na timu za taifa tu! wabongo inahitaji nguvu nyingi sana kuwaelimisha! messi hawezi kucheza mech ya kimataifa akiwa barca bali na argentina, the same kwa niyonzima, mechi zake za kimataifa anachezea rwanda. bahati mbaya hata waandishi na watangazaji uchwara wa kibongo huwa wanasema klabu ina mashindano ya kimataifa. sasa je, zile nchi zenye timu zaidi ya moja mfano egypt wakikutana kwn klabu bingwa inakuwa mechi ya kimataifa kati ya nchi gani na nchi gani? egypt na egypt? chels na man city wakikutana kwn UCL inakuwa mechi ya kimataifa??? nimechoka
 
Tunasubiri timu ya kwanza toka Tanzania kutwaa ubingwa wa Afrika.
Wala hatuhitaji kujua bingwa wa kihistoria wa Tanzania.
 
Kwani simba walishawahi kuchukua kombe LA CAF?
 
Mnawakumbuka hawa: Peter Manyika, Ali Mayai, Salvatory Edward, Bakari Malima, Sekilojo Johnson Chambua, Ephraem Makoye, Edibily Jonas Lunyamila, Kali Ongala. Tajeni wengine wakuu kikosi hiki cha 1998-1999.

Uniambii kitu kuhusu YANGA!!
Said Mwamba, Mwamed Huseni, Salvatus Ibrahim "police",.......
 
Hawa hapa sasa...
 

Attachments

  • YANGA+BLACK+STAR.jpg
    YANGA+BLACK+STAR.jpg
    14.4 KB · Views: 65
Wakati mikia eti wakiwa wa kwanza kumiliki gari lao, TP Mazembe ilikuwa haijazaliwa. Lakini tayari imeishatwaa ubingwa wa Afrika.
Sisi tutabakia na record zetu za ajabu ajabu. Angalau kila nchi ina bingwa wake wa kihistoria katika ubora au u dhaifu wake kimataifa.
 
Hizi kelele zote za wasemaji wa vilabu vyetu zinatusaidia mini???
 
Na yeye ni msemaji maandazi tu rekodi zote hizo alizoweka alitakiwa azilinganishe na Yanga sio ajisemee tu za Simba.,analeta story za vijiweni kwenye mambo serious banaa. Hizi ni story kama Liverfool kila siku kuweka history wakati wanachezea vichapo na hawajaweza chukua PL kwa miaka kibao.Na wao huwa wanaorodhesha upumbavu kama huu huu wa huyu kilaza Manara wakiwa wanabishana ...Yanga ni wa kimataifa toka Enzi na Simba ni wa mchangani hilo liko wazi na wala sio rocket science.
Weka za yanga tuzione matusi ya nn?
 
Wakati mikia eti wakiwa wa kwanza kumiliki gari lao, TP Mazembe ilikuwa haijazaliwa. Lakini tayari imeishatwaa ubingwa wa Afrika.
Sisi tutabakia na record zetu za ajabu ajabu. Angalau kila nchi ina bingwa wake wa kihistoria katika ubora au u dhaifu wake kimataifa.
Hapa ni record za simba vs yanga.....Tp mazembe anaingiaje tena? Mnatafuta chaka?
 
Said Mwamba, Mwamed Huseni, Salvatus Ibrahim "police",.......
mkuu wonderful heshima yako yani nashukuru nilitaka kuwasahau hawa mashujaa wawili Said Mwamba "Kizota" na Mwamed Hussein dah!
Said Mwamba Kizota maskin si ndie aligongwa na gari akafa akitoka kuangalia mpira uwanja wa taifa?
 
Back
Top Bottom