Haji Manara: Simba siyo baba wala mama yangu

Alikuwa Katibu wa CCM mkoa we Dar Es Salaam akaiba akafukuzwa ila alizuga amejiuzuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachama wa Simba wana uwezo wa kumfukuza kupitia kipengele cha sifa za uwanachama ambacho kinataka mwanachama was Simba awe mwadilifu kwa mujibu wa katiba ya Simba sifa ambayo hana kwani wore tunajua kilichomwondoa ukatibu mwenezi wa CCM dar es salaam ni kukosa uaminifu, utapeli na ulaghai
 
Mimi ni shabiki damu wa simba,simba ikifungwa moyoni huwa naumia sana.
Unapoona mtu anatukana Mashabiki
eti wana simu za 70000 kwa mihemuka
ya kwenye whatsappy na Instagram,hii ni
hatari sana kwa mstakabali wa timu.
Mashabiki wa Simba ni wavumilivu sana
wamefungwa 5,ila wamevumilia,wamefungwa na Mashujaa,wamevumila,,,Wamefungwa na
Kombe la Mapinduzi wamevumilia....
Sasa Mashabiki wamepanic na wewe MANALA ulitakiwa kuwa poza Wanasimba
ila sasa,tunashuku kwa wewe MANALA kutumia Log ya Simba kujitangazia biashara yako na kuwakejeri Mashabiki
eti wana simu za vitochi...unakazi kwelikweli......"sidhani Mashabiki watahamasika tena kuingia uwanjani kwa wingi...either uachie ngazi...
Kitendo cha kusema Simba si Baba
yangu wala Mama yangu,.. brother tunakuhemu wewe achia ngazi...cause
maumivu tunayoyapata huku mtaani....
Wewe huyajui...
TUMECHOKA NA UPUUZI WAKO EITHER
UTUOMBE RADHI...lakini navyokujua wewe
huwezi omba radhi .....kuanzia Leo nakuita mchochezi..cause Mashabiki wakikushambulia uwanjani tutaitwa watovu wa na nidhamu....
SIMBA NI BRAND KUBWA...HAKUNA KIONGOZI NI MKUBWA KULIKO SIMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni mambo ya ndani mstuletee huku......Simba na timu ya mpira sio siasa mueke mikakati ya kuchukua vikombe sio kulumbana huku jukwani.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…