Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesha sema yeye ni wa Kariakoo halafu udhaifu wake mkubwa ni Yanga kulikoni badala ya kumind mambo Ya Simba. Halafu anapenda limelight za kijingajinga tuHuyu tumfukuze tu
Kicha = KichwaKicha changu mimi kibovu, sijakuelewa.
= -Kicha = Kichwa
Duh!! asiee!! sijaelewa kwa kweli
Alikuwa Katibu wa CCM mkoa we Dar Es Salaam akaiba akafukuzwa ila alizuga amejiuzuruMsemaji mkuu wa klabu ya Simba amesema Simba siyo baba wala mama yake.
Manara amesema anaweza kujipatia riziki yake kupitia vyanzo vyake vingine vya mapato na si lazima iwe klabuni hapo.
Manara amenikumbusha sana mwalimu JK Nyerere japokuwa muktadha ni tofauti.
Chanzo: Clouds TV
Usiku mwema
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa........ Makatibu wenezi wa CCM full majanga!Alikuwa Katibu wa CCM mkoa we Dar Es Salaam akaiba akafukuzwa ila alizuga amejiuzuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ungekuwa wewe ungevurugwa tu, chezea vipigo kila kukicha halafu mbele yako unamuona al ahlyHuyu naye kavurugwa
Hayo ni mambo ya ndani mstuletee huku......Simba na timu ya mpira sio siasa mueke mikakati ya kuchukua vikombe sio kulumbana huku jukwani.....Mimi ni shabiki damu wa simba,simba ikifungwa moyoni huwa naumia sana.
Unapoona mtu anatukana Mashabiki
eti wana simu za 70000 kwa mihemuka
ya kwenye whatsappy na Instagram,hii ni
hatari sana kwa mstakabali wa timu.
Mashabiki wa Simba ni wavumilivu sana
wamefungwa 5,ila wamevumilia,wamefungwa na Mashujaa,wamevumila,,,Wamefungwa na
Kombe la Mapinduzi wamevumilia....
Sasa Mashabiki wamepanic na wewe MANALA ulitakiwa kuwa poza Wanasimba
ila sasa,tunashuku kwa wewe MANALA kutumia Log ya Simba kujitangazia biashara yako na kuwakejeri Mashabiki
eti wana simu za vitochi...unakazi kwelikweli......"sidhani Mashabiki watahamasika tena kuingia uwanjani kwa wingi...either uachie ngazi...
Kitendo cha kusema Simba si Baba
yangu wala Mama yangu,.. brother tunakuhemu wewe achia ngazi...cause
maumivu tunayoyapata huku mtaani....
Wewe huyajui...
TUMECHOKA NA UPUUZI WAKO EITHER
UTUOMBE RADHI...lakini navyokujua wewe
huwezi omba radhi .....kuanzia Leo nakuita mchochezi..cause Mashabiki wakikushambulia uwanjani tutaitwa watovu wa na nidhamu....
SIMBA NI BRAND KUBWA...HAKUNA KIONGOZI NI MKUBWA KULIKO SIMBA
Sent using Jamii Forums mobile app