mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
huu ni ujumbe wangu mimi mwanayanga halisi kwako wewe white haji manara :
mzungu pori umekuwa chanzo cha chuki na fitina kila mahali ulipopita kama mfanyakazi , unasifika kwa kufitinisha watu makazini na kutaka kuwa katikati ya kila kitu kinachokuzunguka.
umejawa sifa za kipumbavu na ulimbukeni wa maisha kama poyoyo la mbande.
Mara nyingi umekuwa ukijipa ukubwa ambao huna , na umekuwa mwiba kwa vijana wengi kwa kuwavurugia ajira zao mpaka mahusiano yao . wewe ni mpumbavu uliejivika kinyago cha uweledi , na niwapumbavu pekee na wakosa akili ndio wanaoweza kuamini kwamba wew unaipenda Yanga sc.
Yanga ipo kabla yako ,na kabla ya baba zako , wew c lolote wala c chochote ndani ya mpira wa Tanzania ,achilia mbali ndani ya Yanga sc ambayo ndio alama ya soka la Tz. Kila mwenye akili ndani ya Yanga sc anisikie na kila mwenye macho aone , huyu mtu hatufai .Huyu mtu ni kirusi na tatizo sio tu kwa Yanga sc bali ni tatizo la jamii nzima iliyostaarabika.
huyu ni mgonjwa wa akili anaetembea na fikra za kuhisi dunia Inazunguka kupitia yeye, huyu kwa maoni yake anahisi ni yeye ndio sababu ya Yanga kufanya vizuri na sio eng hersi wala Gsm na amekuwa akilitamka hili mara kwa mara, kwa kifupi huyu ni mfalme juha ambaye kama yanga tutacheka nae ,basi ndio itakuwa mwanzo wa anguko letu.
manara out#