Haji Manara, sisi mashabiki wa Yanga SC hatukutaki

Haji Manara, sisi mashabiki wa Yanga SC hatukutaki

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba kiboko yule tulimwachia wa hadhi yake babra akampa za uso...jamaa mpaka akalia haikutosha akahama na club [emoji1787][emoji1787]chezea babra weye.Sasa kaja uto anawasumbuuuaaaa muiteni babra nasemaaaaa muiteni babra nyie wanaume wa yanga hamumuwezi huyo...Kua simba rahaaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Haji Manara kaja hapo kwa swahiba yake Ghalib ambaye ndiye anayeiweka Yanga kwenye chati wewe ni nani hata umkate swahiba wa tajiri kubwa? Mtake msitake Haji yupo sana tu japo ni mpenzi wa Simba, cha kumfanya hamna,masikini hana kiapo.
 
Back
Top Bottom