Haji Manara, sisi mashabiki wa Yanga SC hatukutaki

Haya ni matusi kwa waliomsikiliza Manara, sio kwa Manara. Kama Manara ana uwezo wa kuwaeleza watu ubaya wa anayoona, na wakakubaliana nae, basi ni kazi kwako wewe kwenda kuwaeleza ukweli kinyume na alichosema Manara, badala ya kuja hapa na kupiga kelele juu ya ubaya wa Manara bila kusema ni mambo gani amefanya mambo ya au ya kuwaonea watu.

Kama amefanya wewe ukafukuzwa kazi au kunyimwa fursa huko Yanga, ina maana Manara ametoa maelezo yenye mshiko ndio maana hatua zikachukuliwa japo wewe huzipendi. Sasa na wewe waeleze wanaohusika kwa nini unaona sio sawa kwao kuchukua hatua walizochukua badala ya kupiga bla bla bla hapa

Na unaposema sisi mashabiki wa Yanga hatukutaki, ni lini mlikaa mashabiki wa Yanga ikaamuliwa wewe ndio uje utoe ujumbe huu kwa niaba ya mashabiki wa Yanga? Nani amekupa legitmacy ya kuongea kwa niaba ya mashabiki wa Yanga? Huoni kwa hilo tu unaonyesha wewe ndio tatizo hapa? Au ndio unatuambia siku hizi jina lako unaitwa Sisi Mashabiki wa Yanga?
 
Uongoz wa yanga usikie kilio chetu kama injinia hersi said na uongozi wake hawezi kumuondoq bora amkabidhi timu magomaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ali Kamwe na Manara wanatengeneza kick ya kuwajaza kwa Mkapa Siku ya wananchi.
 
We mwehu ndama usitujumlishe wengine kwenye huu ujinga wako wa ki-SANDA SANDA
 
na mm naunga mkono hoja!hatukutaki manara
 
GSm kama anampenda akae naye pale ofisini kwake na sio kumleta yanga
Na vipi kuhusu udhamini wa huyo GSM pale Yanga!! Unaupenda, au unatamani na timu nayo angekabidhiwa Mzee Magoma?
 
Na vipi kuhusu udhamini wa huyo GSM pale Yanga!! Unaupenda, au unatamani na timu nayo angekabidhiwa Mzee Magoma?
Magoma anahusika vipi apo mnawapa credit watu wasiohusika na mada.
 
Magoma anahusika vipi apo mnawapa credit watu wasiohusika na mada.
Lengo la kumhusisha ni zuri tu. GSM ni mdhamini wa Yanga, hivyo ana haki ya kuajiri mtu anayemtaka; akiwemo huyo Haji Manara. Na uwezo wa kumpinga hatuna.

Mimi ni mmoja ya watu ambao sijawahi kumkubali Haji Manara kutokana na kauli zake za kejeli alipokuwa msemaji wa Simba! Ila baada ya kuajiriwa na Gsm, hakukuwa na namna nyingine! Isipokuwa kukubaliana tu na ukweli.
 
Manara si mbaya kivile anachohitaji ni maelekezo tu, tunachotaka Bugatti ahamasishe mashabiki tu na kujaza uwanja kazi ya usemaji amwachie Ally ambae ameitendea haki.

Ally anakera mno makolo si wa kumpoteza. Misemo kama my wetu na simba wamependeza nafasi ya tatu ilikuwa amazing.

Ally ana bahati na Yanga tangu aingie kazi yetu ni kubeba makombe tu. Ally Kamwe ni kiboko ya makolo mashabiki hatutaki atoke kwanza bado kijana mdogo inapaswa akue ndani ya Yanga.
 
MIKI SHABIKI WA YANGA NAMTAKA!!
 
Mfalme juha πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…