Bongo shida, sana, huyu jamaa kipimdi akiwa Simba, Ali kuwa, mtu wa maaana sana, sasa, kumbe ule u maana wote Ali kuwa anabebwa na Simba team! Kwa caliber yake, huyu jamaa ilibidi akatangaze super sport, awe mchambuzi wa kimataifa,lakini utakuta shule ndogo! Lugha haipandi, Ali kuwa anaishi, kiujanja ujanja tu!
Mbwe mbwe zote zile hazivuki mipaka,
DSM, kulikuwa na mkutano, kongamano kuhusu chakula, MC wa, shughuli ile, alikuwa Rally MadowoMadowo Mtangazaji wa CNN kutoka Kenya, hapo ndio uone umuhimu wa shule na exposure! Najiuliza, hawa kenge na chawa wa CCM, Kitenge, Zembwela, Hando, hawakuiona hii deal? Au lugha haipandi? Au, wao, wanachojua ni kufsnya maigizo kama futuhi uarabuni, kuipamba DPworld,!?
Waje watuambie, kama wao, ni miamba mbona deal kama hii, nafasi pekee ya kushine duniani, imewapita?
Harrafu kuna, kenge atakuja anakuambia shule sio lazima! Mbona Diamond hajasoma na ana pesa.?