Haji Manara umefuta post na comment screenshot zipo

Haji Manara umefuta post na comment screenshot zipo

Alichofanya nadhani ni kuongea juu ya uzoefu alionao tangu wakati yupo huko
 
Haji manara aeleze mzee tozzi wa ilala alikuwa anamfanya nini yeye pamoja na ante mwaka 1995. Watoto wa k/koo mtaa wa likoma ukiwatajia jina la haji wanakwambia kuwa huo ni ubwabwa ulikuwa ukipakuliwa na kuliwa ..ndio maana akikaa kwenye kiti anakalia tako moja na kukunja nne...wahuni kina zungu washavuruga kinyeo zamani sana.
Mm ni fan wa simba ila hii hapana
 
Ila bana huyu jamaa anasahau kwamba siku kibao kikimgeukia atapambana nacho yeye kama yeye.

Na hata kama ni kweli alichokiandika nadhani hakukuwa na haja ya kukiwasilisha kwa namna hiyo sababu tuweni wa kweli kwa namna fulani soka Tanzania nzima litadharaulika na hapo aihesabiki kwamba ni 5imba pekee ndo wana hiyo michezo.

NB: Akili ni nywele na Manara siku zote ana upara.
 
Ila bana huyu jamaa anasahau kwamba siku kibao kikimgeukia atapambana nacho yeye kama yeye.

Na hata kama ni kweli alichokiandika nadhani hakukuwa na haja ya kukiwasilisha kwa namna hiyo sababu tuweni wa kweli kwa namna fulani soka Tanzania nzima kwa namna fulani litadharaulika na hapo aihesabiki ni 5imba pekee ndo wana hiyo michezo.

NB: Akili ni nywele na Manara siku zote ana upara.
Kunywa soda hapo dkn kwa Mpare nitalipa tu usijali.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ila bana huyu jamaa anasahau kwamba siku kibao kikimgeukia atapambana nacho yeye kama yeye.

Na hata kama ni kweli alichokiandika nadhani hakukuwa na haja ya kukiwasilisha kwa namna hiyo sababu tuweni wa kweli kwa namna fulani soka Tanzania nzima litadharaulika na hapo aihesabiki kwamba ni 5imba pekee ndo wana hiyo michezo.

NB: Akili ni nywele na Manara siku zote ana upara.
[emoji111]
 
Shida iko wapi ?? 😂😂 makolo manara kawa mwiba kwenu mnatamani anyamaze ila hanyamazi 😂😂
 
Huyu jamaa uchizi sasa umekomaa. Muda si mrefu ataanza kuokota makopo.
 
Kwanini?. 😂😂🙌
mambo yake hayo

DD50FFA1-C546-4D15-921D-0B1FEC30B83A.jpeg

AB607781-F587-4A38-982F-84A1034A3600.jpeg

99A56D74-9658-44EB-90C5-7F831D8A4E61.png
 
Simba kwa mauchawi mnaongoza. Haji alichoongea ni uzoefu alioupata alipokuwa huko. Unachuki zako binafi, hapo hakuna kesi
 
Back
Top Bottom