Haji Manara umefuta post na comment screenshot zipo

Alichofanya nadhani ni kuongea juu ya uzoefu alionao tangu wakati yupo huko
 
Mm ni fan wa simba ila hii hapana
 
Ila bana huyu jamaa anasahau kwamba siku kibao kikimgeukia atapambana nacho yeye kama yeye.

Na hata kama ni kweli alichokiandika nadhani hakukuwa na haja ya kukiwasilisha kwa namna hiyo sababu tuweni wa kweli kwa namna fulani soka Tanzania nzima litadharaulika na hapo aihesabiki kwamba ni 5imba pekee ndo wana hiyo michezo.

NB: Akili ni nywele na Manara siku zote ana upara.
 
Kunywa soda hapo dkn kwa Mpare nitalipa tu usijali.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
[emoji111]
 
Shida iko wapi ?? πŸ˜‚πŸ˜‚ makolo manara kawa mwiba kwenu mnatamani anyamaze ila hanyamazi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nasubiri nimsikie akiyakana hayo maandiko.
 
Huyu jamaa uchizi sasa umekomaa. Muda si mrefu ataanza kuokota makopo.
 
Simba kwa mauchawi mnaongoza. Haji alichoongea ni uzoefu alioupata alipokuwa huko. Unachuki zako binafi, hapo hakuna kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…