Haji Manara Yuko Wasafi FM, Ally Kamwe kaenda Crown FM kwa hasimu wa Haji Jemedari Said, Yanga is very unprofessional

Joined
Nov 27, 2024
Posts
43
Reaction score
127
Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi wa Yanga akiwa na wapambe wake wameingilia Crown FM ambayo Manara hawezi kwenda kwa sababu Yuko hasimu wake Jemedari Saidi.

KAZI kwenu Wana Yanga msikilize Wasafi FM SImba ikinangwa au msikilize Crown Mazembe akishangaa Gusa Achia Twende Kwao.

This is unprecedented!
 
Hasimu wa haji ni crown FM au jemedari?,

Media zote mbili zinawasikilizaji wengi, ukienda kwa pamoja kama hivi, Wana uhakika wa kuwafikia mashabiki wengi kwa wakati mmoja.,
 
Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi wa Yanga akiwa na wapambe wake wameingilia Crown FM ambayo Manara hawezi kwenda kwa sababu Yuko hasimu wake Jemedari Saidi.

KAZI kwenu Wana Yanga msikilize Wasafi FM SImba ikinangwa au msikilize Crown Mazembe akishangaa Gusa Achia Twende Kwao.

This is unprecedented!
Wewe umewezaje kuwasikiliza wote wawili?
 
Wacha waongee maana ndiyo kazi yao, ingawa haiongezi chochote kwenye utaalamu wa mpira katika timu.
 
Back
Top Bottom