Mwijaku yupo anamrithi.Kuna mwandishi Kivuyo wa ITV aliwahi kutuonya kuwa huyu ni Simba damu na ni pandikizi limeuja kutuvuruga wana Yanga
Sasa yametimia.
Kambi imevurugika,mpasuko jangwani kuna wanaosema Yona atoswe,wengine wanasema tumtetee.
Klabu imetoka kwenye reli ya pre season imeingia kwenye mgogoro
Tuwe nae makini ikiwezekana tumkatae
Hujui mission strategies za kijasusi, unapewa neema kidogo ujione uko safe kifuatacho ni migogoro bandika bandua.Kama kutuvuruga ndio kuchukua makombe bas aendelee