Haji ni pandikizi la Simba aliyetumwa kuja kuivuruga Yanga?

Haji ni pandikizi la Simba aliyetumwa kuja kuivuruga Yanga?

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Kuna mwandishi Kivuyo wa ITV aliwahi kutuonya kuwa huyu ni Simba damu na ni pandikizi limeuja kutuvuruga wana Yanga

Sasa yametimia.
Kambi imevurugika, mpasuko jangwani kuna wanaosema Yona atoswe, wengine wanasema tumtetee.

Klabu imetoka kwenye reli ya pre season imeingia kwenye mgogoro

Tuwe nae makini ikiwezekana tumkatae.
 
Kuna mwandishi Kivuyo wa ITV aliwahi kutuonya kuwa huyu ni Simba damu na ni pandikizi limeuja kutuvuruga wana Yanga

Sasa yametimia.
Kambi imevurugika,mpasuko jangwani kuna wanaosema Yona atoswe,wengine wanasema tumtetee.

Klabu imetoka kwenye reli ya pre season imeingia kwenye mgogoro

Tuwe nae makini ikiwezekana tumkatae
Mwijaku yupo anamrithi.
 
Mpira wa bongo ni Simba na Yanga, Manara atakata rufaa na adhabu yake itapungukwa mpaka kugikia miezi sita.
 
Na Bado...!

Jerry Muro Alipomuita Msukule hlf Antonio Nugaz akapigia Mstari mliwaona Wehu...!

Huyo Kilichomleta huko ni njaa....!
Hana Uchungu wowote Na Yanga.
 
Back
Top Bottom