Hajia Manara aonekana Mwanachi Day japo adhabu yake inaendelea

Katika Hali isiyo ya kawaida yule msemaji wa utopolo aliyepigwa marufuku kujihusisha na mambo ya mpira ndani na nje ya nchi Kwa muda wa miaka miwili, Leo ameonekana ndani ya uwanja wa mkapa akiwa na lundo la walinzi.. kwenu TFF
Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.

Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
 
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom