Hajia Manara aonekana Mwanachi Day japo adhabu yake inaendelea

Hajia Manara aonekana Mwanachi Day japo adhabu yake inaendelea

Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.

Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
Hivi nyie viumbe huwa namasoma nakuelewa lakini, sharia au kanuni.

Shughuli yoyote ya mpira, hapo Yanga anacheza Mdundiko.!?
 
Kisheria alikuwa anaruhusiwa kuja kama shabiki yani akae jukwaani

Ila hii ya kuja kwenye steji na kushika mic kuanza kusherehesha naona ni ishara ya jeuri kuipuuza mahakama

Nadhani wiki lijalo tutegmee kuona mfululizo wa misamaha tena.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi naona kafikiria akaona hii siku akiiacha ipite hivi hivi bila kuonekana wala kusema chochote ataonekana hana impact kwenye club

Kaamua kujitokeza ili baadaye awe na kauli ya kusema kupitia brand yake aliweza kushawishi umati mkubwa kuja uwanjani.

Mambo ya kiki haya ni kutafutiana lawama baadae uanze kulia TFF inamuonea kwasababu raisi ni shabiki wa Simba.

Katika Hali isiyo ya kawaida yule msemaji wa utopolo aliyepigwa marufuku kujihusisha na mambo ya mpira ndani na nje ya nchi Kwa muda wa miaka miwili, Leo ameonekana ndani ya uwanja wa mkapa akiwa na lundo la walinzi.. kwenu TFF
Hii timu kwa madharau na maujinga yake ipo siku itashushwa daraja. Tupo time will tell
 
Akili gani no ujinga tu, unasifia ujinga, Vio gozi wa yanga hasa huyu Eng ni mjinga na anadharau shirikisho
Ni suala tu la kisheria mkurugenzi. Mimi sioni kosa lake kusherehesha hili tamasha. Ni moja ya shughuli zake hizo bila shaka.
 
Hii ni dharau kwa Shirikisho la Soka Nchini na kuharibu mpira wa miguu Tanzania.
Mnapenda Sheria za mpira ziwe za ki dictator? Hiyo kamati ,siyo chombo Cha mwisho kwa maamzi.
 
Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.

Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
Hivi huko shuleni ulienda kusomea ujinga? 'in FaizaFoxy 's tone,". Mimi ninavyoelewa amefungiwa kujihusisha na shughuli zote za mpira wa miguu/soka. Je, sherehe inayoendelea hapo kwa Mkapa ni ya Kitchen Party"?
 
Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.

Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
Wachezaji ni sehemu ya "masuala ya mpira" ambayo hatakiwi kujihusisha nayo. Siyo ndani ya Tz tu hata Burundi na nchi nyingine yoyote duniani
 
Hivi nyie viumbe huwa namasoma nakuelewa lakini, sharia au kanuni.

Shughuli yoyote ya mpira, hapo Yanga anacheza Mdundiko.!?
Huyo achana naye anafanya provocation makusudi ila huyo mbwatukaji naamini mwisho wake wa kubwatuka ni kuanzia Jumatatu acha aage
 
Sitaki kuongelea kufungiwa kwake, NO!

Huenda masaa kadhaa nyuma kuna jitihada ziliendelea kufanyika kuhakikisha anasamehewa na kuingia Wananchi Day leo.

NIKAMA vile hili tukio halikua limepangwa kabisaaaa anaingia watendaji wa club wakiendelea kutambushwa anaharibu tention nzima ya uwanja.

Washereheshaji Zembwela na wenzake wanabaki wameduwaa wasijue katokea wapi... ghafla utambulisho unaanza bila coordination yoyote ya matukio.

By the way zile tickets zilinunuliwa na nani mbona kama mwaka jana tuliujaza uwanja.
 
He is untouchable, wamguse Anuke, kwa mujibu wa Adhab anatakiwa apokee barua ya adhabu lkn pia kifungo hakijainisha aina za kazi asizotakiwa kufanya, narudia he is untouchable na hapa hajakosea
 
Back
Top Bottom