Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tff wakishindwa kuruka naye , basi waliofungiwa wote inabidi waachiwe huruHuyo wataruka nae..
Labda TFF wawe maboga
Hiyo ndo maana ya Surprise. Hakuna ambacho hakikupangwa hapo.sitaki kuongelea kufunguwa kwake NO.. Huenda masaa kadhaa nyuma kuna jitihada ziliendelea kufanyika kuhakikisha anasamehewa na kuingia Wananchi Day leo.
NIKAMA vile hili tukio halikua limepangwa kabisaaaa anaingia watendaji wa club wakiendelea kutambushwa anaharibu tention nzima ya uwanja.
washereheshaji zembwela na wenzake wanabaki wameduwaa wasijue katokea wapi....... ghafla utambulisho unaanza bila coordination yoyote ya matukio.........
by the way zile tickets zilinunuliwa na nani mbona kama mwaka jana tuliujaza uwanja.
Hata mwaka jana aliingia kwa style km ya leo, kuhusu mapengo uwanjani nadhani mchawi ni kiingilia mwaka jana kiingilio cha chini ilikuwa ni 5000/= na leo kiingilio cha chini ni 10000/=
Kwani Shafii Dauda haendi uwanjani?Hapa tff wakishindwa kuruka naye , basi waliofungiwa wote inabidi waachiwe huru
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mwaka Jana uwanja haukujaa SanaHata mwaka jana aliingia kwa style km ya leo, kuhusu mapengo uwanjani nadhani mchawi ni kiingilia mwaka jana kiingilio cha chini ilikuwa ni 5000/= na leo kiingilio cha chini ni 10000/=
Tatizo la makolo mnatumia mihemko badala ya kusikiliza facts . hebu nenda kaisikilize ile press ya manara vizuri na kwa umakini. Manara alisema ameshindwa kukata rufaa sababu hana nakala ya hukumu ambayo inatolewa na hiyo kamati uchwara na walikuwa hawataki kumpa . na kanuni inasema mtu ataanza kutumikia adhabu pindi anapopewa nakala ya hukumu. Ndo maana siku ile jamaa akasema yeye bado ni msemaji wa Yanga kwa sababu hajakabidhiwa nakala ya hukumu licha ya kwenda kuifuatilia Mara kadhaa jamaa wamekalia kumzungusha.Kama amekata rufaa alikata rufaa kwa kutumia barua ipi?
Maana huwezi kukata rufaa pasipo kupokea barua/nakala ya hukumu.
Tatizo hawajui sheriaKosa lake liko wapi? Yuko hapo kama MC wa kutambulisha wachezaji! Hivyo kwa mtazamo wangu naona hana kosa.
Angeitishia Press na kuongelea habari za klabu, hapo ungesema kweli amekiuka masharti ya adhabu yake.
Kule SportPesa mbona hakuna anayetia neno kwani haihusiani na soka acheni makasiriko ya bureUnaelewa neno kutojihusisha na swala LA soka
Au hapo sio soka
Kweli kachafukwa hadi jina lake anakosea!TANGAZO KWA WAJUMBE WOTE WA KAMATI YA MAADILI TFF.
Kesho mnamo saa 4 kamili ya asubuhi kutakuwa na kikao cha dharura kuhusiana mwenendo na mustakhabari wa mpira wetu.
Play fair
Wance Karia
Rais wa tff
Sasa kwanini leo baada ya utambulisho wa wachezaji amesema hajihusishi na soka kufuatia adhabu aliyopewa na alialikwa kama MC tu hivyo anaondoka zake Kigogo kwenye shughuli za uMC?Tatizo la makolo mnatumia mihemko badala ya kusikiliza facts . hebu nenda kaisikilize ile press ya manara vizuri na kwa umakini. Manara alisema ameshindwa kukata rufaa sababu hana nakala ya hukumu ambayo inatolewa na hiyo kamati uchwara na walikuwa hawataki kumpa . na kanuni inasema mtu ataanza kutumikia adhabu pindi anapopewa nakala ya hukumu. Ndo maana siku ile jamaa akasema yeye bado ni msemaji wa Yanga kwa sababu hajakabidhiwa nakala ya hukumu licha ya kwenda kuifuatilia Mara kadhaa jamaa wamekalia kumzungusha.
Tff hakuna kufumbia macho upumbavu kama huusitaki kuongelea kufunguwa kwake NO.. Huenda masaa kadhaa nyuma kuna jitihada ziliendelea kufanyika kuhakikisha anasamehewa na kuingia Wananchi Day leo.
NIKAMA vile hili tukio halikua limepangwa kabisaaaa anaingia watendaji wa club wakiendelea kutambushwa anaharibu tention nzima ya uwanja.
washereheshaji zembwela na wenzake wanabaki wameduwaa wasijue katokea wapi....... ghafla utambulisho unaanza bila coordination yoyote ya matukio.........
by the way zile tickets zilinunuliwa na nani mbona kama mwaka jana tuliujaza uwanja.
Ni suala tu la kisheria mkurugenzi. Mimi sioni kosa lake kusherehesha hili tamasha. Ni moja ya shughuli zake hizo bila shaka.
Fifa hawaingilii matamashaHii anapelekwa Fifa moja kwa moja