OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
TFF kama kuna adhabu zaidi ya kufungiwa maisha apewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zisihusishe mpira.Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.
Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
Yanga ni mwanachama wa TFF, hivyo lazima wafate utaratibu wa TFFYanga sio wajinga na hio event haihusiani na ligi na wala TFF haiwahusu.
Ni sawa na kutaka kumfungia mtu kushiriki hata mambo binafsi ya kifamilia kama birthday ya watoto wake, n.k
Alisema yeye bado ni msemaji wa yanga kwa sababu kamati imegoma kumpa nakala ya hukumu. Sasa swali ni je, kamati wamemkabidhi nakala ya hukumu .?Ni hivi mkuu, huyu Manara last press aliyoitisha alisema yeye bado msemaji halali
Wa Yanga… na leo kupanda jukwaani na kuwatambulisha wachezaji wa yanga ni kwamba anauthibitishia umma kwamba yeye bado msemaji wa Yanga.Ni dharau ya hali ya juu
Mbaya zaidi hapo uwanjani kuna mawaziri na viongozi wakuu wa chama,Yanga kumtumia Manara wanataka kuonesha kama vile wanaungwa mkono na viongozi wa chama na serikali
Hahahahaa!! Hana jipyaKawastue hapo ofisini kwako mkuu waje wamkamate..!! #byutibyuti
Kasome ba diko la jemedari ndio utajua hujuiKama nilivyo tabiri! Mumfungie sasa. Huyooo anaenda zake Kigogo kusherehesha harusi 😁😁😁
Ndiyo nani huyo mpaka nipoteze muda wangu kwenda kusoma hilo bandiko lake?Kasome ba diko la jemedari ndio utajua hujui
Katika Hali isiyo ya kawaida yule msemaji wa utopolo aliyepigwa marufuku kujihusisha na mambo ya mpira ndani na nje ya nchi Kwa muda wa miaka miwili, Leo ameonekana ndani ya uwanja wa mkapa akiwa na lundo la walinzi.. kwenu TFF
... kutambulisha wachezaji ni suala la kisoka au halihusiani na soka mzee baba?Kosa lake liko wapi? Yuko hapo kama MC wa kutambulisha wachezaji! Hivyo kwa mtazamo wangu naona hana kosa.
Angeitishia Press na kuongelea habari za klabu, hapo ungesema kweli amekiuka masharti ya adhabu yake.
Nongwa ipi tena mkuu?Acha nongwa
Mimi ni bush lawyer tu. Ila sioni kosa eti!!!... kutambulisha wachezaji ni suala la kisoka au halihusianai na soka mzee baba?
Hatakiwi hata kusikiliza Kipindi cha michezo radioni kama huo mchezo utakuwa wa miguu.😁Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.
Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
... adhabu yake ilikuwa kutojihusisha na na soka for 2 yrs. u-MC wake leo ilikuwa kuwatambulisha WACHEZAJI (wa soka) wa KLABU YA YANGA (ya soka), Uwanja wa Taifa kwenye MECHI (ya soka) kati ya YANGA (ya soka) na Vipers (ya soka).Mimi ni bush lawyer tu. Ila sioni kosa eti!!!