mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Tunamlia timing tu ngoja uoneKawastue hapo ofisini kwako mkuu waje wamkamate..!! #byutibyuti
Hii anapelekwa Fifa moja kwa mojaNgoja tuone rungu lingine litakaloshushwa kwake. Asije akalalamika na Yanga wasije kulalamika
Kama hili likiachwa basi hakuna haja ya kuwepo hilo shirikishoKatika Hali isiyo ya kawaida yule msemaji wa utopolo aliyepigwa marufuku kujihusisha na mambo ya mpira ndani na nje ya nchi Kwa muda wa miaka miwili, Leo ameonekana ndani ya uwanja wa mkapa akiwa na lundo la walinzi.. kwenu TFF
Huyo hata akipelekwa FIFA atafungiwa Lakini analo kundi linalompa sapoti hasa hao viongozi wa Yanga, maana hao wangekua wanasimamia sheria lakini hawajali.Hii anapelekwa Fifa moja kwa moja
Hii ni dharau kwa Shirikisho la Soka Nchini na kuharibu mpira wa miguu Tanzania.
Aisee..TFF haina chochote...
Ngoja tuone....
Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.Katika Hali isiyo ya kawaida yule msemaji wa utopolo aliyepigwa marufuku kujihusisha na mambo ya mpira ndani na nje ya nchi Kwa muda wa miaka miwili, Leo ameonekana ndani ya uwanja wa mkapa akiwa na lundo la walinzi.. kwenu TFF
🤣🤣🤣Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.
Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.
Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.