Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
kuachana na huyo mwanaume hauwezi kuwa mwisho wa maisha yako, nadhani cha muhimu lazima ukubali kwamba wewe haukuwa chaguo lake, ilikuwa ni shida tu ndo iliyomleta kwako, na kama mtoto hawamtaki basi hebu jipange na uangalie haki yako na mchango wako kwenye maisha mliyokuwa nayo ni upi, nenda mahakamani upate haki yako na uanze maisha yako ya amani na utuliVu huku ukimweka MUNGU mbele.
UNAJUA MARA NYINGINE MATATIZO NI MWALIMU AU NI NJIA YA KUKUEPUSHA NA (JA)MAMBO AMBAYO YANGETOKEA KWA HIYO CHA MUHIMU NI KUSOMA ALAMA NA KUJIFUNZA,
LAKINI NA HUYO MAMA WAWILI NAE AKILI ZAKE ZIMEKAA KUSHOTO ANAMWAMINI VIPI MWANAMUME KAMA HUYO KAMA HAWEZI KUMLETEA NA YEYE MWANAMKE ALIYEMZALIA WATATU