hajielewi

hajielewi

kuachana na huyo mwanaume hauwezi kuwa mwisho wa maisha yako, nadhani cha muhimu lazima ukubali kwamba wewe haukuwa chaguo lake, ilikuwa ni shida tu ndo iliyomleta kwako, na kama mtoto hawamtaki basi hebu jipange na uangalie haki yako na mchango wako kwenye maisha mliyokuwa nayo ni upi, nenda mahakamani upate haki yako na uanze maisha yako ya amani na utuliVu huku ukimweka MUNGU mbele.
UNAJUA MARA NYINGINE MATATIZO NI MWALIMU AU NI NJIA YA KUKUEPUSHA NA (JA)MAMBO AMBAYO YANGETOKEA KWA HIYO CHA MUHIMU NI KUSOMA ALAMA NA KUJIFUNZA,
LAKINI NA HUYO MAMA WAWILI NAE AKILI ZAKE ZIMEKAA KUSHOTO ANAMWAMINI VIPI MWANAMUME KAMA HUYO KAMA HAWEZI KUMLETEA NA YEYE MWANAMKE ALIYEMZALIA WATATU
 
mpendwa wangu sijapata PM yako jamani, plz nitumie tena love, unajua Aunty Lao hii kitu inaumiza kupitiliza, yaani akikaa ni kuliaa tu, aliacha kusomesha wadogo zake ili amsomeshe kwanza mumewe wajikwamue,matokeo yake ndio haya! inaumiza sana anajuta lakini ndio hivyo tena, uwezo wa kimaisha anao, na ndio plan yake kuondoka but akifikiria hiyo nyumba mume alikuwa na kiwanja mke akaona ni bora ajenge hapo wakae kwao, nyumba ni nzuri sana kajenga kwa nguvu zake kwa mama yake mzazi ni ka nyumba ka kawaida tu, analia kwa mengi! ningejua ningesomesha wadogo zangu nipate baraka za wazazi, ningejua ningemjengea mama yangu nyumba kama hii anipe baraka..ningejua...ningejua....

Investing for the future - would be wife/hubby!
Hii kitu ya kumsomesha potential wife or hubby haijakaa sawa jamani.Hii ni mara ya kwanza kwangu kusikia mwanamke akimsomesha mwanaume ili hatimaye waje wakae na kujenga maisha.Nimeona wanaume wengi wakilia mwisho wa siku kwa vile waliwekeza kumsomesha msichana.Alipohitimu tu akatoka barutiii!
May be kuna somo hapa... kwamba wakati uko busy kujinyima umsomeshe mtu... hata kama hakupendi anajifanya anakupenda ili usimchomolee fuse! Akifanikiwa kupata elimu yake humuoni tena.Sina maana kutonesha jeraha ila nimeona niliseme hapa maana wanaume wengi wamelizwa na wasichana/wachumba zao.
 
Penzi likikolea chochote chawezekana!

Future invesment ktk penzi na kupendeka upande wa pili!
 
Binti alikuwa na mapenzi ya dhati kwa jamaa na ili mambo yawe sawia
aliamua kumsaidia/kumuwezesha mwenza wake ili waweze kuyamudu maisha.
Binti alifanya hivyo kwa moyo mkunjuvu kutokana na mapenzi yake kwa jamaa.

On the other side, jamaa hakuwa na mapenzi nae kabisa, ni opportunist tu.
kama kawaida yao maopportunist ni wajuzi sana katika kuhakikisha wanapata
kile wanachohitaji baada ya hapo game is over.

Sasa kama atalia, atakunywa sumu sijui nini they dont give a damn.

MWAMBIE RAFIKI YAKO AACHANE NAYE AANZE UPYA, YEYE SI WA KWANZA
DUNIA HII KUPATA MISUKOSKO.
 
wapo katika ndoa kwa miaka 4 sasa, wamejaaliwa baby gal

...sawasawa...

...mume alivyomwambia" but samahani sana kukutaarifu kuwa anakuja na mke mwenzio kutoka kijijini nina twins nae wana mwezi 1, mama kaonelea waje tutambuzane coz nae ni mke wa ndoa kama ulivyo wewe"...

...enhe...

...mama mkwe ni visa na vituko anasema yule mjukuu wa kwanza siowa mwanae bali wake ni hao twins wachangaa, maneno ya kejeli kutok kwa mama mkwe hana raha, imekuwa kero, ...

...Je, upande wa pili wa shilingi (mume) nako kuna hadithi gani? ...there is always three sides of a story, Her story, His story, and the truth!

so far nishaona hadithi ya mke ilivyopangiliwa ili kupata 'sympathizers' hapa.
 
Hebu tusubiri tuone upande wa pili unasemaje?
 
mpendwa wangu sijapata PM yako jamani, plz nitumie tena love, unajua Aunty Lao hii kitu inaumiza kupitiliza, yaani akikaa ni kuliaa tu, aliacha kusomesha wadogo zake ili amsomeshe kwanza mumewe wajikwamue,matokeo yake ndio haya! inaumiza sana anajuta lakini ndio hivyo tena, uwezo wa kimaisha anao, na ndio plan yake kuondoka but akifikiria hiyo nyumba mume alikuwa na kiwanja mke akaona ni bora ajenge hapo wakae kwao, nyumba ni nzuri sana kajenga kwa nguvu zake kwa mama yake mzazi ni ka nyumba ka kawaida tu, analia kwa mengi! ningejua ningesomesha wadogo zangu nipate baraka za wazazi, ningejua ningemjengea mama yangu nyumba kama hii anipe baraka..ningejua...ningejua....

Yote amwachie mungu atakulipa kwa mema yote aliyoyatenda. Huyo mume na mama yake mungu atawalaani.

Nyumba imeandikwa jina la nani?
 
Jamani yote yaweza kutokea 1. kuwa anajaribu kupata sympathy na 2 ni kweli yametokea. Katika dunia ya sasa si ajabu kabisa kwa haya kutokea. Ndoa zina mambo na kuta nne zinaficha mengi. Naungana mkono na dada Dina hapo kuwa si rahisi kumshauri mtu katika hili lakini yeye mwenyewe atizame future yake na mtotot. Hali ikishafika hivi si rahisi kubadilika na kurudia hali ya kawaida labda MUNGU aingilie kati.

Binadamu tu wepesi wa kusahau mema tuliyotendewa na wenzi wetu.

Mama huu sio mwisho wa dunia na wala huyo s mwenye kengele peke yake!! kaza moyo songa mbele tena na tikeeti unayo kabisa.. ningekuwa mimi............ah kama nanawa vile maana ishakuwa wizi mtupu
 
Anataka ushauri gani ilihali kila kitu kiko wazi kwamba hatakiwi? Ila naomba kufahamishwa hali yake ya uchumi kwasas ikoje maana ulisema alimfadhili mumewe kusoma, kama ipo bomba basi aende akaanze maisha upya siamini kama mtoto mmoja atamshinda kumtunza.

Ila kuna kitu nimejifunza ( ikizingatiwa ilikuwa nimeiona na kuisikia kwa wanawake zaidi) kuwa kumsomesha mwenza wako ni hatari kuliko hatari yenyewe, kwani akifanikiwa kimaisha kwa msaada uliompa basi kuucha ni wajibu.

Aksante mtoa mada
 
Mimi nadhani ampige chini tu huyo jamaa. Kwa kifupi huyo kidume hafai.
 
Anataka ushauri gani ilihali kila kitu kiko wazi kwamba hatakiwi? Ila naomba kufahamishwa hali yake ya uchumi kwasas ikoje maana ulisema alimfadhili mumewe kusoma, kama ipo bomba basi aende akaanze maisha upya siamini kama mtoto mmoja atamshinda kumtunza.

Ila kuna kitu nimejifunza ( ikizingatiwa ilikuwa nimeiona na kuisikia kwa wanawake zaidi) kuwa kumsomesha mwenza wako ni hatari kuliko hatari yenyewe, kwani akifanikiwa kimaisha kwa msaada uliompa basi kuucha ni wajibu.

Aksante mtoa mada

Bazazi kiuchumi frnd wangu yupo poa kabisa! juzi jmosi kahamia kwake na mtoto wake, hana lake coz nyumba aliyokuwa anaishi na mumewe aliijenga yeye kiwanja kilikuwa cha mume, mume ana hati!...ameanza maisha mapya!...kapanga self yake... but kuliaaa ndio zake, anasema kachukua kiumbe mwanaume kuliko kitu kingine chochote, anasema kama angekuwa hana baby angeshajiua kitambo!hakutegemea yaliyomtokea.
 
Jamani yote yaweza kutokea 1. kuwa anajaribu kupata sympathy na 2 ni kweli yametokea. Katika dunia ya sasa si ajabu kabisa kwa haya kutokea. Ndoa zina mambo na kuta nne zinaficha mengi. Naungana mkono na dada Dina hapo kuwa si rahisi kumshauri mtu katika hili lakini yeye mwenyewe atizame future yake na mtotot. Hali ikishafika hivi si rahisi kubadilika na kurudia hali ya kawaida labda MUNGU aingilie kati.

Binadamu tu wepesi wa kusahau mema tuliyotendewa na wenzi wetu.

Mama huu sio mwisho wa dunia na wala huyo s mwenye kengele peke yake!! kaza moyo songa mbele tena na tikeeti unayo kabisa.. ningekuwa mimi............ah kama nanawa vile maana ishakuwa wizi mtupu

najitahidi sana kumwambia achukulie easy, but anasema ni rahisi kwa mtu kutoa ushauri na kumpooza but angejua moyoni mwake anavyoteseka ni basi tu, anasema ataishi yeye na mwanae milele bila kiumbe mwanaume.......lakini hapo hata mie najua ni hasira tu, atapoa na atapata mwanaume watakaependena, still young...29 yrs hawezi kukaa bila man! kwa maoni yangu tu.
 
wapo katika ndoa kwa miaka 4 sasa, wamejaaliwa baby gal, mume alikaa muda mrefu sana bila ya kazi coz kule alikokuwa anafanya alipata matatizo akafukuzwa kazi, kapelekwa shule kwa pesa ya mkewe, katafutiwa kazi nzuri na mkewe walikuwa na maisha mazuri/maelewano na kila jema, mume kaanza kubadilika, leo akirudi ni kumpiga mke, kesho ni kutafuta sababu ili mradi wagombane, mke kavumilia yote mpaka majuzi mume alivyomwambia" mama anakuja kutoka kijijini but samahani sana kukutaarifu kuwa anakuja na mke mwenzio kutoka kijijini nina twins nae wana mwezi 1, mama kaonelea waje tutambuzane coz nae ni mke wa ndoa kama ulivyo wewe"...wamekuja hapo ndani hapakaliki mama mkwe ni visa na vituko anasema yule mjukuu wa kwanza siowa mwanae bali wake ni hao twins wachangaa, maneno ya kejeli kutok kwa mama mkwe hana raha, imekuwa kero, rafiki yangu ni kulia kulia tu, anasema ana mpango wa kuwaacha hapo ndani akaanze maisha mapya, nilikosa ushauri wa kumpa.

tumsaidie jamani.

Jamani hii kesi nzuri sana na wala huyo mama haitaji kugharimikia hata Shilingi zaidi ya nauli au simu kwa kuwasiliana na TAWLA (Umoja wa wanawake wanashria wa tanzania), TAMWA (Umoja wa waandishi wa habri wanawake Tanzania), TGNP (Mtandao wa jinsia Tanzania), au LHRC (Kituo cha kutetea haki za binadamu). Tembelea hizi link
: : TAMWA - Tanzania Media Women's Association
Welcome to the Frontpage
Tanzania Gender Networking Progamme - TGNP
Legal and Human Rights Centre - Home

Hizi taasisi zinasubiri hizo kesi kwa hamu sana. Zipo kwa ajili ya kusaidia. Tena kuna ndoa na mtoto na hii teknolojia ya DNA sijui huyu baba atachomokea wapi. Ni kwa sababu tu wadanganyika tunachukulia vitu for granted! hatujui haki zetu.

NAWAKILISHA.
 
Hana haja ya kuumia kichwa,suluhisho rahisi ni kuachana naye kwa amani kabisa bila ugomvi wowote;kwasababu,hapa duniani hayuko peke yake.
Kwa kufanya hivyo atapata utulivu wa akili,mwili na hata roho pia.
 
[QUOTE=nyamayao;368380]ameanza maisha mapya!...kapanga self yake... but kuliaaa ndio zake, anasema kachukua kiumbe mwanaume kuliko kitu kingine chochote, anasema kama angekuwa hana baby angeshajiua kitambo!hakutegemea yaliyomtokea.[/QUOTE]

Nyamayao naomba mfikishie salaam zangu za dhati kwa kukubaliana na ushauri wangu. Pia sio kweli kusema samaki mmoja akioza ndio wote wameoza. Naamini yeye ni mwanamke aliye kamilika kwahiyo lazima awe na mwenza kwani gharama za kutokuwa naye inaweza ikawa kukbwa kuliko kuwa naye. Ila namshauri awe makini atakapo anza mchakato wa kusaka mwenza mwingine.

Aidha maisha ni mwalimu mbaya kwani anakupa mtihani na baadaye ndio anakufundisha; na sidhani kuwa ni busara kukimbia shule kwa sababu tu umefeli mtihani. Je unajuwa kuwa Prof. Mazrui wa Kenya alifeli Makerere na Prof. Peter Msolla naye alifeli SUA bythen ikiitwa UD? Je leo wanamafanikio kiasi gani. Ingawa mfano unaweza usiwe na uhusiano mkubwa ila la maana ni kupambana na lolote linalokuja mbele yako kwani tatizo halitatuliwi kwa kulikimbia bali kupambana nalo. Mweleze atafute mwanaume mwingine kwani hayo ndio maisha😕
 
mpendwa wangu sijapata PM yako jamani, plz nitumie tena love, unajua Aunty Lao hii kitu inaumiza kupitiliza, yaani akikaa ni kuliaa tu, aliacha kusomesha wadogo zake ili amsomeshe kwanza mumewe wajikwamue,matokeo yake ndio haya! inaumiza sana anajuta lakini ndio hivyo tena, uwezo wa kimaisha anao, na ndio plan yake kuondoka but akifikiria hiyo nyumba mume alikuwa na kiwanja mke akaona ni bora ajenge hapo wakae kwao, nyumba ni nzuri sana kajenga kwa nguvu zake kwa mama yake mzazi ni ka nyumba ka kawaida tu, analia kwa mengi! ningejua ningesomesha wadogo zangu nipate baraka za wazazi, ningejua ningemjengea mama yangu nyumba kama hii anipe baraka..ningejua...ningejua....

Whoever that dude is....is giving Men a bad name.
Ushauri kwa huyo dada ni....ampe jamaa "divorce", ampeleke mahakamani, nyumba iuzwe wagawane pesa....mchezo uishe.....asimwachie niyo nyumba kabisa...kwasababu itamtia wazimu kila atakapokumbukia.
 
Nyamayao, heshima yako dadangu.

Kuna dada niliwahi kumsaidia kupata haki zake hapo Dar. Mume waliyekuwa wamezaa mtoto mmoja wa kiume aliamua kuoa mwanamke mwingine. Huyo dada ndiye aliyemnyanyua jamaa kutoka mavumbini. Dada aliweza kupata nyumba yake at the end of the day.

Tukirudi kwenye suala la huyu dada, anazo haki zote za msingi ( haijalishi kama alifunga ndoa au la almradi tu waliishi kinyumba na kujulikana kama mume na mke(Presumption of Marriage).

Anaweza kufungua kesi ya madai kudai haki zake na tena kama yeye ndiye aliyekuwa mtafuta ridhki mkuu ( Bread winner) basi hapo anaweza kupata bingo ya nguvu kwenye mgawanyo wa hizo mali (kama akiamua kufuatilia haki zake).

Sheria ya ndoa ya 1971 inamlinda huyo dada vizuri tu.

Tukiachana na upande huo wa madai, tuje kwenye suala la maisha ( social life). Mwambie huyo dada amrudie mja wake manake asije kujikuta anaingia kwenye shimo jingine kwani mabazazi ni wengi humu duniani.

Mpe pole sana na mwambie hiyo ni sehemu ya maisha na akubali kwamba ni kweli yamemtokea na asimame kidete kumwonesha mtalaka wake mtarajiwa kwamba yes she can get there without him na asiruhusu hali ya kujiona yeye si kitu ten! We all stumble in life but never fall.

Shadow.
 
Suala la yeye kuachana na huyo mwanaume nadhani halina mjadala labda kama anapenda kukaa kwenye ndoa ya mitala. Mjadala hapo ni wa namna gani ya kuondoka na pia majaaliwa ya mtoto.

Mambo ya mitala siku hizi yamepitwa na wakati, hiyo nyumba inabidi aachane nayo.Kwakuwa bado ana uwezo wa kufanya kazi Mungu atamsaidia tu. Kubaki kwenye hiyo nyumba ni kujiongezea matatizo tu. Ila kabla ya kuanza ahakikishe anawasiliana na wanasheria ili wampe mwongozo haki itendeke, huyo mama mkwe asije akadhani kuwa atafaidi kilichomo humo ndani kwa kumuondoa huyo dada. Na kuhusu huyo mtoto wala asijali.Kwa kuwa mama mkwe ameshasema kuwa huyo mtoto sio wao, aanze naye (ni wake 100%). Na ikiwezekana wakaandikishane kabisa. Maana watu wamezoea kukataa watoto, baadae wakiona watoto wamefanikiwa wanajitia kujipendekeza
 
Nyamayao, heshima yako dadangu.

Kuna dada niliwahi kumsaidia kupata haki zake hapo Dar. Mume waliyekuwa wamezaa mtoto mmoja wa kiume aliamua kuoa mwanamke mwingine. Huyo dada ndiye aliyemnyanyua jamaa kutoka mavumbini. Dada aliweza kupata nyumba yake at the end of the day.

Tukirudi kwenye suala la huyu dada, anazo haki zote za msingi ( haijalishi kama alifunga ndoa au la almradi tu waliishi kinyumba na kujulikana kama mume na mke(Presumption of Marriage).

Anaweza kufungua kesi ya madai kudai haki zake na tena kama yeye ndiye aliyekuwa mtafuta ridhki mkuu ( Bread winner) basi hapo anaweza kupata bingo ya nguvu kwenye mgawanyo wa hizo mali (kama akiamua kufuatilia haki zake).

Sheria ya ndoa ya 1971 inamlinda huyo dada vizuri tu.

Tukiachana na upande huo wa madai, tuje kwenye suala la maisha ( social life). Mwambie huyo dada amrudie mja wake manake asije kujikuta anaingia kwenye shimo jingine kwani mabazazi ni wengi humu duniani.

Mpe pole sana na mwambie hiyo ni sehemu ya maisha na akubali kwamba ni kweli yamemtokea na asimame kidete kumwonesha mtalaka wake mtarajiwa kwamba yes she can get there without him na asiruhusu hali ya kujiona yeye si kitu ten! We all stumble in life but never fall.

Shadow.

heshima kwako pia kaka kipenzi.

tulikuwa tunaongea nae juzi, mmoja akamshauri adai haki yake, aligoma! akasema anamwachia mungu tu kwa sasa wacha atulie na mwanae aanze moja,na ndivyo alivyofanya hakuchukua kitu hata ki1 ndani zaidi ya nguo zake na za mwanae tu furniture zote ni mali yake but aliziacha.. jana alienda mahali kutafuta kiwanja aanze kujenga,anajaribu kusahau sasa atleast tunaweza kuongea 1 hour bila kukumbuka na kuanza kuliaa....
 
Mambo ya mitala siku hizi yamepitwa na wakati, hiyo nyumba inabidi aachane nayo.Kwakuwa bado ana uwezo wa kufanya kazi Mungu atamsaidia tu. Kubaki kwenye hiyo nyumba ni kujiongezea matatizo tu. Ila kabla ya kuanza ahakikishe anawasiliana na wanasheria ili wampe mwongozo haki itendeke, huyo mama mkwe asije akadhani kuwa atafaidi kilichomo humo ndani kwa kumuondoa huyo dada. Na kuhusu huyo mtoto wala asijali.Kwa kuwa mama mkwe ameshasema kuwa huyo mtoto sio wao, aanze naye (ni wake 100%). Na ikiwezekana wakaandikishane kabisa. Maana watu wamezoea kukataa watoto, baadae wakiona watoto wamefanikiwa wanajitia kujipendekeza

last week husband alimcal mke akitaka kujua anakaa wapi ili aende kumsalimia mwanae, waliishia kujibizana, mke akamwambia kamwe hutokaa umwone mwanangu na mamako c alisema huyu c mjukuu wake?hus anamwambia huyo ni mwanangu na ataendelea kuwa mwanangu na ninahitaji kumtunza...wife anamwambia siku ulogwe uje kwangu nakumaliza/nakuua, endelea na maisha yako kama ninavyoendelea na ya kwangu.
 
Back
Top Bottom