Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Huyu Haji nadhani hali yake inaathiri kufikiria vizuri(sorry kwa hilo) kelele anazopiga ni upuuzi mtu badala ya kudeal na kuhamasisha mashabiki kwenda uwanjani anamtengenezea Zahera enemity kwa mashabiki wa Simba.
Simba ilikula 5,Zahera alikuwa Shinyanga kucheza na stand
Simba ilikula 5 ,Zahera alikuwa Tanga
Then,Haji anasahau kuwa Zahera ni Mcongo na Ibenge ni boss wake kwenye national team ya Congo na amekuwa naye kwa muda kila anapokwenda hata Ibenge alipokuwa kocha china alimchukua Zahera.
Kambi ya Yanga tulipoenda kucheza na Usm algers Saimon Msuva alitembelea kambi kuwapa hi waTz wenzake kuna ubaya gani Zahera kwenda kuonana na Ibenge na wachezaji ambao atakuwa nao national team,yaani aogope kisa kuonekana atampa siri za SImba,hizo+255 mlizokula yeye ndo kachangia?
Zahera anaweza kwenda kesho uwanja wa taifa halafu,Simba wakapoteza game halafu mashabiki wakareact na kumdhuru Zahera kwa sumu hizi za Hajji maana wengi ni mbumbumbu according to Ragge,nini kitatokea na mashabiki wa Yanga wakiamua kumtetea kocha wao? Huyu Hajji Usilazimishe game ya Simba kuifanya kama ni national team,pambaneni na mambo yenu wenyewe.
Na siku moja kauli na maandishi ya hili jinga yatamponza,eti anataka naye kugombea ubunge,duuh
Hii siyo timu ya taifa,pambaneni acheni kutafuta pakutokea mambo yakienda kombo