Hajji Manara anatatizo linalohitaji tiba

Hajji Manara anatatizo linalohitaji tiba

Asingekuwa kichaa asingekuwa Maarufu

Nchi Hii ili upate umaarufu lazima akili uzipeleke likizo

Sasa hivi Kila Mtu Pieree Pieree ukiuLiza ndio nani unaambiwa Mlevi wa Taifa Hakuna Maelezo ya ziada zaid ya Kuwa Mlevi Na amepata umaarufu Na kawa Maarufu mpaka kurekodi Matangazo ya Biashara


Acha twende hivyo hivo
Pierre sa hv ni balozi
Anaalikwa kufanya shows kila weekend

Ni kama alivyokuwa Dr. Shika
Hii ndio bongo
 
Simba ni timu kubwa ila haina msemaji, mwenye sifa za kuisemea Timu.Manara anaongea kama mtu wa siasa na si Timu kama Simba. Ata sababisha maafa kwenye mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni msemaji wa CCM na Simba.

so, labda Simba = CCM.

sijui mimi....natumia arithmetics logic tu!
 
Jamani siasa za bongo,huyo manara kuropoka kote na kujipendekeza kwa wakubwa kumbe anataka ubunge.
Hata wewe Kama njia ya kufanikiwa ni kujipendekeza jipendekeze, watu mnashindwa kumwelewa Haji manara Kuna muda anaongea Kama shabiki wa simba na kuna muda anaongea km msemaji so lazima utulize akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20190315-WA0007.jpg
 
Manara akiongea au akipost kitu, thread kama sita zinaanzishwa humu
 
Back
Top Bottom