pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Pierre sa hv ni baloziAsingekuwa kichaa asingekuwa Maarufu
Nchi Hii ili upate umaarufu lazima akili uzipeleke likizo
Sasa hivi Kila Mtu Pieree Pieree ukiuLiza ndio nani unaambiwa Mlevi wa Taifa Hakuna Maelezo ya ziada zaid ya Kuwa Mlevi Na amepata umaarufu Na kawa Maarufu mpaka kurekodi Matangazo ya Biashara
Acha twende hivyo hivo
Anaalikwa kufanya shows kila weekend
Ni kama alivyokuwa Dr. Shika
Hii ndio bongo