Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Watu wanajaa kumuangalia??Ukiona mtu kakutoa pivu ujue kakukalisha tayari, kila timu ingekuwa na babubu kama hawa mabubu wa vilabu vingine mpira ungekuwa wapi? Mapato ya uwanjani yangepatikanaje? Hamjui Manara ndio sababu ya kujaza uwanja? Tulieni dawa iingie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo CCM watampa Manara kiti maalum cha walemavu??CCM wanaweza wakampa ukizingatia ni mlemavu wa ngozi,halafu anajipendekeza sana kwa Magufuli.
😁😁😁😁 Tz mambo ya kijinga ndo kikiAsingekuwa kichaa asingekuwa Maarufu
Nchi Hii ili upate umaarufu lazima akili uzipeleke likizo
Sasa hivi Kila Mtu Pieree Pieree ukiuLiza ndio nani unaambiwa Mlevi wa Taifa Hakuna Maelezo ya ziada zaid ya Kuwa Mlevi Na amepata umaarufu Na kawa Maarufu mpaka kurekodi Matangazo ya Biashara
Acha twende hivyo hivo
Nadhani ndo anavizia kama yule balozi
Mkuu huyu jamaa sio mzima!Haji Manara ni mchochezi,polisi wanatakiwa kumkamata uchochezi haupo kwenye siasa tu,Viongozi wa Yanga mchukulieni Rb mpumbavu huyo siyo kauli za uanamichezo.
Alafu hua mna mjaza ujinga eti yeye ndio sababu ya uwanja kujaa , unadhani Simba ingekua na matokeo mabovu uwanja ungejaa kisa Manara?Ukiona mtu kakutoa pivu ujue kakukalisha tayari, kila timu ingekuwa na babubu kama hawa mabubu wa vilabu vingine mpira ungekuwa wapi? Mapato ya uwanjani yangepatikanaje? Hamjui Manara ndio sababu ya kujaza uwanja? Tulieni dawa iingie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapanga matokeo.
Kwan Tim ngap zina viwanja ulaya? Kia hiyo badala ya kuiga vizuri mnaiga vibaya "wabongo bhana "
Hahahahaaaa, umenifurahisha kweli mkuu, ety vumbi LA Congo
Sasa ulitaka tufanye nn, we kuna siku ushawahi isupport yanga pindi inapocheza na timu yoyote..?kesho mnyama atacheza na tim mbili as vital na as kandambili,,
Kila tim itayocheza na simba mnahamia kwenye hiyo tim,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kuna mtu anaweza mtetea Marana kwa upuuzi anaoufanya hata kama ni mapenzi yamepitilizaSawa, Kesho nendeni uwanjani na jezi zenu za kijani na njano na nyeusi.
Shida ya umbumbumbu ndo hiyo