Hajji Manara ni zaidi ya shabiki wa kawaida, Taifa litamhitaji kuelekea Afcon

Chaaaaaa, yaani huyu ndiyo Manara? Kwa kweli akae huko huko wala asije uwanjani, hatumtaki kabisa.
 
Hakuna kitu hapo.

Angefungiwa hata miaka 100!
 
Akajuinge na wadogo zake wa Kigoma wenzake mwijaku , babalevo na Mr.pimbi kwenye uchawa. Mpira ameshapitwa na wakati Sasa hivi zimekuja zamani za vijana wa kidigital Ally Kamwe na Ahmedy Ally
 
WABONGO WANAPENDA MTU ANAYEPIGA DOMO
BLAH BLAH NYINGI KWAO WANAONA UFAHARI

ova
 
Itakuwa wewe ndo manara mwenyewe

Umejishtukia baada ya kuona umesahaulika...huna lolote kaendelee kusutana na mange kimambi
 
Miaka kadhaa mwamba alipangishiwa flat pale Ila watu wakawa wanaruka na kukanyagana
 
Mmmh ingekuwa timu hazifanyi vzr kwl.....ila unajionea mwenyewe Afcon tumo,CCL tupo vzr......inshu kubwa ni mipango sahihi na utekelezaji mzuri pamoja na ushirikiano baina ya viongozi, wachezaji na mashabiki.......
 
Impact gani kwa mfano? Sasa hivi yupo benchi je viwanja havijai? Mabanda umiza yanakosa watu? Timu hazifanyi vizuri kimataifa? Uliliona parade la Yanga?Leta data tumedorora wapi
Waulize Mwananchi day kama walijaza
 
Acha ushabiki Manara ana impact kubwa kwenye soka la nchi hi, tumedorora bila yeye.
Hapana kelele za kipumbavu zimeissha
😁😁😁😁 aache tu sahv tuna ally kamwa na ahmed allyπŸ‘πŸ½
 
Kakulipa shilingi ngapi?
 
Always remember no one is irreplaceable either in daily activities or your job position may be in family level unaweza ukawa irreplaceable tatizo sikio limezidi kichwa atulie dawa iingie
 
Ajiheshimu kwanza, ataheshimiwa. Aache mambo ya kukashifu watu.
 
Huyu hakuna anayemhitaji labda uto
 
Huyo ni mpiga kelele tuu hakuna kitu anaongea kwenye mpira, mpira ndio umemfanya kua maarufu, Ahmed Ally atukani mtu anatembea na kispika chake cha kuuzia dawa za kunguni na uwanja unajaa huyu ndie mtu anaehitajika kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…