Haka kabinti kameniponza sana loh!

Unaonekan n we n mzoefu wa kuzaa nje. Maana umesema hutaki TENA mtoto wa nje
 
Mkuu menya inganyi, sio maneno makali ila ndio ukweli mchungu. wewe utapigaje dem mmeonana leo kesho unapiga!!!
 
Tumikisha akili mzee
 
Natangaza kabisa Ukitaka Ule vyangu we shika mimba tu,, na nitambue kweli ni yangu,, wala sijutii kabisa ,,maana nitakuwa nimefanya uzembe mwenyewe,,. Kodom zipo ,, harafu MTU apate mimba,,,Ukiona hivyo hata HIV ni simple tu kupata,, natembea mno nje ya ndoa ila huwezi sikia et Nina mimba yako,,,, wataanzia wapi?
 
Kichwa boga kikitawaliwa na kichwa piliton ndio madhara yake hayo.....wenzio tukiona maji yamezidi unga tunaamua kupika uji, ulishindwa nini kudiactvate account yako ndugu? Anyway baba jesika kasema tuzaliane tuu.
 
Reactions: MC7
Mkuu hicho ulichokifnay ulikusudia maana kwann ulimruhusu alale!?naamn ulimshawish kamà skosei lea mimba,lasivyo utapata laana maana mtt hana kosa wew ndio mwenye kosa
 
mtu mpaka kakubebea mimba yako bhado una muita kabinti?mpe heshima yake
 
ndo mkome. kuchepuka mpaka na vibinti vya mitandaoni...tamaa mbele...shukuru umeambiwa mimba tu na si mngine.
 
id mpya ikija na uzi wa namna hii.........................................ni shiiiida
 
Unajua kuna miaka 30 jela?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…