Haka kabinti kameniponza sana loh!

Haka kabinti kameniponza sana loh!

Ilipasuka ukaendelea, si ulishaamua ya nini kumkimbia...ndio maisha hayo.
 
Ngono bana, ina raha na karaha zake. Utamu wa lisaa 1, matatizo lukuki mpaka unasahau utamu wote na unaanza kujuta.
Picha imeshaungua hapo, tena ulilamba kavu kavu. Hata huyo mpenz wako, hawezi kukuamini tena.
 
Dah!!Hatari sana kwa kweli..ikubali hiyo mimba na uchukue jukumu la kuilea tu maana hamna namna..hainaga ushemeji na mimba tunapeanaga.
 
mkuu pole lakin mbona kama ni story ...hebu weka picha tuone
 
Kuna kabinti tulikua tunachat nacho kwenye mitandao ya kijamii kama friend ikaja ikatokea siku moja nikiwa mikoani kwao tukaonana stori za apa na pale mwisho akaondoka kiukweli nilikaona kadogo kweli.

Sasa kesho yake akaja tena tukawa tunapiga stori akanipa habari zake za chuo nk badae Muda ukaenda akaniambia analala. Basi tukalala nikakuta tumevunja amri ya sita.

Kwa maumbile ya yule mtoto yalikua madogo nilitumia kinga but nakumbuka ilipasuka, cha kunishangaza yule mtoto michezo yake ilikua hatari kwa waelewa wataelewa alinipa nini.

Anyway sikuamini kwa rika Lake kama ule mchezo anauweza na alijifunzia wapi tuyaache hayo.. Nilimwambia kua nina mtu kwa hiyo aelewe hivyo basi siku zilienda simu zikawa nyingi hadi kero..

Baadae kaniambia ana mimba dah nilijuta sana maana sikutaka tena watoto wa nnje sasa kawa mjanja kutafuta no na mawasiliano ya ndugu zangu kwenye mitandao ya kijamii cha kusikitisha kawaambia dada zangu wote adi Bro zangu yaani mpaka aibu isitoshe simu kila saa usiku mchana kisa ananiambia atanikomoa niachane na mpenz wangu.

Najuta sana kiukweli kwa hivi vibinti nimeamua hata kuikataa mimba kabisa maana huyu kadhamiria kuniharibia kabisa... Au nifanyeje jamani?
Kwa hiyo manesi wasubirie mauharo siku ya kujifungua aisee.
 
Back
Top Bottom