Haka kabinti kameniponza sana loh!

Haka kabinti kameniponza sana loh!

Kuna kabinti tulikua tunachat nacho kwenye mitandao ya kijamii kama friend ikaja ikatokea siku moja nikiwa mikoani kwao tukaonana stori za apa na pale mwisho akaondoka kiukweli nilikaona kadogo kweli.

Sasa kesho yake akaja tena tukawa tunapiga stori akanipa habari zake za chuo nk badae Muda ukaenda akaniambia analala. Basi tukalala nikakuta tumevunja amri ya sita.

Kwa maumbile ya yule mtoto yalikua madogo nilitumia kinga but nakumbuka ilipasuka, cha kunishangaza yule mtoto michezo yake ilikua hatari kwa waelewa wataelewa alinipa nini.

Anyway sikuamini kwa rika Lake kama ule mchezo anauweza na alijifunzia wapi tuyaache hayo.. Nilimwambia kua nina mtu kwa hiyo aelewe hivyo basi siku zilienda simu zikawa nyingi hadi kero..

Baadae kaniambia ana mimba dah nilijuta sana maana sikutaka tena watoto wa nnje sasa kawa mjanja kutafuta no na mawasiliano ya ndugu zangu kwenye mitandao ya kijamii cha kusikitisha kawaambia dada zangu wote adi Bro zangu yaani mpaka aibu isitoshe simu kila saa usiku mchana kisa ananiambia atanikomoa niachane na mpenz wangu.

Najuta sana kiukweli kwa hivi vibinti nimeamua hata kuikataa mimba kabisa maana huyu kadhamiria kuniharibia kabisa... Au nifanyeje jamani?
Kabinti? mzazi mwenzio huyo ebu kua na heshima na mama mtoto wako aisee
 
Mkuu menya inganyi, sio maneno makali ila ndio ukweli mchungu. wewe utapigaje dem mmeonana leo kesho unapiga!!!
Yn ni ufala uliopitiliza..eti wamejuana mtandaoni..wt the f....k .ndio hawa usambaza magonjwa kwa wenzi wao shwain....tena akukomeshe....ukimwi aliuwaza lkn.???daaah some peopleee
 
apo sawa maana nilijua tuu mawazo yako nikapime ngoma siku hizi ngoma hautishi mm naogopa tuu watoto wa nje ya ndoa
Hahahahahah yani ww ni one of a kind[emoji23] eti huogopi ngoma. Muite ongea nae kwa utulivu. Najua shida yake mahela hana chochote anachokitaka zaidi ya mkwanja 2. Mpeee. iyo mimba mbona ataitoa tu
 
Hahahahahah yani ww ni one of a kind[emoji23] eti huogopi ngoma. Muite ongea nae kwa utulivu. Najua shida yake mahela hana chochote anachokitaka zaidi ya mkwanja 2. Mpeee. iyo mimba mbona ataitoa tu
5 months inatoka?
 
Hahahahahah yani ww ni one of a kind[emoji23] eti huogopi ngoma. Muite ongea nae kwa utulivu. Najua shida yake mahela hana chochote anachokitaka zaidi ya mkwanja 2. Mpeee. iyo mimba mbona ataitoa tu
dada usiuogope ngoma siku hizi ugonjwa hatar ni kansa na kisukari tuu ngoma ukitumia arvs unatoboa adi miaka30 sasa apa na 30 ata nikitoboa 25 ingine si inatosha
 
Huyu jamaa kasajiliwa kwenye laini ya 0713 pole mkuu inaonekana hukujuta kupewa laini Lakini unajuta kumpa mimba.
wow! sasa kama alitumia mtandao wa tigo iweje tena huyo mrembo aseme ana mimba yake?!
 
5 months inatoka?
...we muite ongea nae taratibu..hakikisha hulali nae tena na hutii!...kisha mpe pesa! kwanza hakikisha unapima nae hyo mimba km kweli yako! maana moshi bhana...mabinti wa huku kwa utapeli hawajambo! niulize mie
 
mkuu hapo moshi ni hatar sana upo moshi sehem gani unaweza ukawa unakafaham
 
mkuu hapo moshi ni hatar sana upo moshi sehem gani unaweza ukawa unakafaham
mkuu fata ushauri wangu! hapa matapeli wa mimba wapo kedekede! ila na ww mkuu ulitisha!..samaki hadi pande ya pili ukageza? duuuh!...njooo moshi ongea na huyo mtoto!..mpe maneno matam akuelewe!
 
mkuu fata ushauri wangu! hapa matapeli wa mimba wapo kedekede! ila na ww mkuu ulitisha!..samaki hadi pande ya pili ukageza? duuuh!...njooo moshi ongea na huyo mtoto!..mpe maneno matam akuelewe!
siyo mimi mkuu alifanya utundu yeye mwenyewe kumbe hii michezo ata moshi ipo daaa
 
Back
Top Bottom