Haka kabinti kameniponza sana loh!

Mkuu menya inganyi, sio maneno makali ila ndio ukweli mchungu. wewe utapigaje dem mmeonana leo kesho unapiga!!!
Mkuu hujawahi kuexperience one night stand au ndio umemaliza shule
 
Ilipasuka ukaendelea, si ulishaamua ya nini kumkimbia...ndio maisha hayo.
 
Story ilivyoanza nilijua stunt ...
 
Ngono bana, ina raha na karaha zake. Utamu wa lisaa 1, matatizo lukuki mpaka unasahau utamu wote na unaanza kujuta.
Picha imeshaungua hapo, tena ulilamba kavu kavu. Hata huyo mpenz wako, hawezi kukuamini tena.
 
Dah!!Hatari sana kwa kweli..ikubali hiyo mimba na uchukue jukumu la kuilea tu maana hamna namna..hainaga ushemeji na mimba tunapeanaga.
 
mkuu pole lakin mbona kama ni story ...hebu weka picha tuone
 
Kwa hiyo manesi wasubirie mauharo siku ya kujifungua aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…