Akomae na anavoweza kuvipata
DahBila kishundu huyo ni msela tu
Huyu Dem huenda kanamfanya mwamba anajichukulia Sheria mkononiTazama video hii ukaone kadada kenyewe. Aisee nimekaelewa kinoma noma. Kwa sababu ndio aina ya mademu ninao tokaga nao. Unaposikia Likud kaenda sijui Lindi, Mtwara, wherever kutafuta mademu huwaga natafuta mademu kama hawa
View: https://www.youtube.com/watch?v=hFkHHK6G148
🤣🤣🤣Haya nimefuta Kamanda👊Tafadhali sana
rangi kama ya yule bintiKana ile rangi yangu pendwa kabisa.